Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,962
- 86,901
Kwanini asingeniacha mapema kabla hajajipata anasubiri tu aone mwangaza ndio ajichomoe betri? Alikuwa anasubiri nini? Na unafikiri kwamba nitaona ni kawaida tu kaniacha labda kachoka na sio kwamba kajipata? Unataka ni-sugarcoat kitu ambacho kiko wazi? Huoni kama nimepotezewa muda mpaka hapo?Kwanini wewe unafikiri mwanaume akijipata hana haki ya kukuacha? Una tangiable value yoyote uliongeza kwenye hustles zake mpaka ujione upo entitled kwenye mafanikio yake?