Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,995
- 146,320
Wanawake wengi ni wangapi, hiyo data umeipata wapi, imepatikanaje, imehakikiwa vipi?Unadhani ni kwanini wanawake wengi miaka hii hawataki kuolewa na wanaume maskini wanao anzia chini !!?
Wanawake wengi ni wangapi, hiyo data umeipata wapi, imepatikanaje, imehakikiwa vipi?Unadhani ni kwanini wanawake wengi miaka hii hawataki kuolewa na wanaume maskini wanao anzia chini !!?
Mzee Kiranga hiyo comment yako ni ad hominem fallacyWanawake wengi ni wangapi, hiyo data umeipata wapi, imepatikanaje, imehakikiwa vipi?
Ad hominem fallacy ni nini, umeiunganisha comment yangu kuwa ad hominem fallacy kivipi, mantiki yako ni ipi, umeihakiki vipi?Mzee Kiranga hiyo comment yako ni ad hominem fallacy
Hivi Unajua kuwa Msichana akifika miaka 30 anakuwa amepitia mengi na kuanza kutulia, wakati mvulana miaka 40 anakuwa sawa na Msichana miaka 20! Mke wake anaonekana zakuchumpa na anaanza kuona 18 ndiyo mpango wa mjini. Tamaa za kuvua chupi za kila aina zinachipukia, wakati mwanamke anamshangaa. Ndiyo maana tunasisitiza kuoana lazima mwanaume amzidi Msichana si chini ya miaka 10.Hapo sasa utajua we mwenyewe mkuu! Hujui tu uvumilivu wa kuanza na mtu chini ntajichosha kukuelezea.. magumu anayopitia mtu kumvumilia mwenzie vishawishi anavyovuka mpaka wafikie lengo! Jinsi mtu unavyojikana ili mwende sambamba na huyo masikini… Halafu anajipata anajiona matawi; hivi nilikutanaje kutanaje na hili limwanamke!! Hapa hatuongelei tamaa ya pesa tunaongelea kuanza na mtu chini, kama huwezi kutuliza fahamu vzr unakimbilia tamaa ni ww sasa! Sio kila jambo ni kuhusu tamaa na sio kila mtu ana tamaa..
Hata kama mwanaume Hana hela basi uone hata mwanga kwa maisha ya mbele,Yaani awe Tajiri/mwenye hela mtarajiwa!!Siwalaumu sana wadada kupenda wanaume wenye hela, ni nature, sababu embu waza mwanaume kutoa mahari unahitaji uwe na hela, harusi unahitaji hela, kutunza ujauzito wa mchumba na uzazi hela inahitajika, mtoto atakaezaliwa asome shule nzuri, hela inahitajika
Mbaya ni ile kujifanya una hisia na mwanaume kumbe huna hisia nae, uko nae sababu anakupa hela Seran shibela
Atuambie hiyo tafiti imefanyika wapi, data zimekusanywa kwa njia gani, na kwa kutumia wataalamu gani?Wanawake wengi ni wangapi, hiyo data umeipata wapi, imepatikanaje, imehakikiwa vipi?
Au unakuta mtu anajiita mjusi sharobalo, hapo kweli kuna mwenye hela mtarajiwa 😁Hata kama mwanaume Hana hela basi uone hata mwanga kwa maisha ya mbele,Yaani awe Tajiri/mwenye hela mtarajiwa!!
Sasa kidume kimekaa kimasikini masikini kimejikatia tamaa ya maisha/kimeridhika na umasikini wake cha kazi gani?
Dahh ila kweli ukitoa hapo wote wanabaki masikini tena uwii tunarudi palepale🙆🏽♀️Fafanua jibu lako, halafu ujue kitakwimu wadada wenye mwonekano mzuri ni wengi kuliko wanaume wenye hela.
Tena kati ya hao wanaume wenye hela, toa waume za watu, toa wababu, toa wanaume wenye hela za kichawi zenye masharti, toa wanaume waliojipatia izo hela kwa njia haramu k.v kuiba kuua..toa mashoga, hapo unabakia na nani 😁
Math ain't mathing Seran
Imagine sasa ndio umeenda na mume masikini ukweni anavyotumwa kupasua kuni na wewe siku nzima mafigani, wapanga mikakati wengine yani umasikini sio poaUkiwa masikini, Hata familia yako inapunguza upendo na Heshima
Uko sahihi, connect point yako na mada sasa, wanaume wanaona kama tunawaonea kwenye swala zima la umasikini..Hivi Unajua kuwa Msichana akifika miaka 30 anakuwa amepitia mengi na kuanza kutulia, wakati mvulana miaka 40 anakuwa sawa na Msichana miaka 20! Mke wake anaonekana zakuchumpa na anaanza kuona 18 ndiyo mpango wa mjini. Tamaa za kuvua chupi za kila aina zinachipukia, wakati mwanamke anamshangaa. Ndiyo maana tunasisitiza kuoana lazima mwanaume amzidi Msichana si chini ya miaka 10.
Umaskini sio sifa nzuri hata wewe hapo nina uhakika hutopenda kuwa na mwanamke maskini.Hapana na hapo ndipo tunapo ubaini uongo wako, ukweli ni kwamba wanawake wengi ni wenye tamaa na kupenda wanaume wenye uchumi mzuri, hoja ya kwamba masikini huwa anabadilika akijipata na kuwaona wanawake ni makapi haina mashiko wala miguu ya kusimamia.
Mwanaume rijali provider anaejielewa haangalii umaskini wa mwanamke kama kigezo cha kutokumchagua, linapokuja swala la sex au ndoa, wanaume wengi hatujali kama huna hela, huna nguo nzuri, huna kazi, huna pa kulala unalala chini ya mwembe, kikubwa sana kwenye macho yetu uwe na muonekano mzuri na tabia inayoridhisha KelseaUmaskini sio sifa nzuri hata wewe hapo nina uhakika hutopenda kuwa na mwanamke maskini.
Kama ni kijana mwenye nidhamu, mwenye uelekeo haina shida.
Umasikini ni default setting ya binadamu wote. Tuwe na imani kidogo.
Kukataa kuolewa na mwanaume mwenye hela eti Una hisia na masikini ni Aina moja wapo ya utaahira🤣🤣🤣🤣🤣Au unakuta mtu anajiita mjusi sharobalo, hapo kweli kuna mwenye hela mtarajiwa 😁
Ila tuangalie pia upande wa pili, unajua kuna wadada wengi siku hizi wamefanya ndo fasheni, wanafeki upendo, wanadeti na kuolewa na wanaume wasiowapenda ili wapate hela za hao wanaume, hapo unazungumziaje shibela
Mwambie Kila mtu/binadamu anapenda vitu vizuri, mwambie hata yeye angekuwa Dem angetaka aolewe na tajiri, hakuna mtu asiye penda vitu vizuri na mambo mazuri, Kila mtu anapenda vitu vizuri na mambo mazuriHapo sasa utajua we mwenyewe mkuu! Hujui tu uvumilivu wa kuanza na mtu chini ntajichosha kukuelezea.. magumu anayopitia mtu kumvumilia mwenzie vishawishi anavyovuka mpaka wafikie lengo! Jinsi mtu unavyojikana ili mwende sambamba na huyo masikini… Halafu anajipata anajiona matawi; hivi nilikutanaje kutanaje na hili limwanamke!! Hapa hatuongelei tamaa ya pesa tunaongelea kuanza na mtu chini, kama huwezi kutuliza fahamu vzr unakimbilia tamaa ni ww sasa! Sio kila jambo ni kuhusu tamaa na sio kila mtu ana tamaa..
Ombea sana awe na hela nyingi na awe type yako kwenye swala la muonekano, au muonekano wake usiuone ni mbaya sana..Kukataa kuolewa na mwanaume mwenye hela eti Una hisia na masikini ni Aina moja wapo ya utaahira🤣🤣🤣🤣🤣
Kwanza unakosaje hisia na Tajiri anayekupenda??
Akikuahidi Tu kukubadilishia gari huko chini kunaloa kwenyewe kabla hajakugusa!!
U get what u deserve.. Not what u expect! Hicho ndicho nilichojifunza kwa siku ya leo.. thanks muchh 😍M
Mwambie Kila mtu/binadamu anapenda vitu vizuri, mwambie hata yeye angekuwa Dem angetaka aolewe na tajiri, hakuna mtu asiye penda vitu vizuri na mambo mazuri, Kila mtu anapenda vitu vizuri na mambo mazuri
Mwambie Kila mwanamke anataka kuolewa na tajiri na ana ndoto ya kuolewa na tajiri, hata ukimkurupusha singo Maza usingizini Bado ana ndoto za kuolewa na tajiri, ni singo Maza ila anatumaini ipo siku ataolewa na tajiri Tena tajiri wa dunia,
Sio singo Maza tuu hata wale makahaba sugu wanaojiuza mabarbarani Wana ndoto ya kuolewa na tajiri, sio hao tuu mpaka vichaa wale waokota makopo majalalani Wana taka kuolewa na tajiri, na wana ndoto ya kuolewa na tajiri, hadi mashoga wanawatafuta matajiri sana na wanawatamani matajiri
ila ndo hivo Tena utampata mwanaume unaestaili sio unae mtaka wewe.