Wanawake wengi hawawataki wanaume maskini

Wanawake wengi hawawataki wanaume maskini

Kukataa kuolewa na mwanaume mwenye hela eti Una hisia na masikini ni Aina moja wapo ya utaahira🤣🤣🤣🤣🤣
Kwanza unakosaje hisia na Tajiri anayekupenda??
Akikuahidi Tu kukubadilishia gari huko chini kunaloa kwenyewe kabla hajakugusa!!
😂😂😂😂😂😂
 
U get what u deserve.. Not what u expect! Hicho ndicho nilichojifunza kwa siku ya leo.. thanks muchh 😍

Kuelewesha vijana ni kazi sana ndugu yangu, mkijadili mada anakugeuzia kibao as if umemwambia unataka nini wakati ni mjadala mezani..
JF ina kasumba 1, hawajadili mada, wanajadili watoa comments.
Muwazoeee
 
Hata wanaume maskini huwa wanasettle na wanawake wenye mionekano mibaya sio kwa kupenda ila kwa sababu ya Hali zao mbaya za kiuchumi.

Ndo maana wanaume wengi wakijipata haswa kiuchumi huwa wanaoa mke wa pili ambaye ni mzuri kimuonekano kuliko mke wa kwanza
Uzi ufungweee!!! 😂😂😂😂😂
 
Ongeza hii: Wanawake hawataki mtu masikini na asiye na future. Future inaangaliwa sana, future ni "projection" ya umasikini au utajiri hapo badae.

Mwanamke ni mtu wa kukaa nae kwa akili sana. Hivi hivi anakuibia kwa "Induction" yaani vyako vinakuwa vyake automatically. 😊
Hii ya future ni nzuri, na iko sahihi, haikwepeki.
 
Wanaume wakifanikiwa wanakukimbia wanatafuta warembo wa mjini sasa.. unarudi zako kuanza upya na masikini mwingine🥲
Saa ingine hata hao wenye nazo wana changamoto zao ikiwemo masimango.

Tena akikuona umetoka kwenye maisha ya hali ya chini ndo anaigeuza kama fimbo yaani ukimkosea kitu kidogo tu utajuta maneno yake.

Kiujumla ni kuomba tu Mungu kwani kuwa kwenye mahusiano kwa mwenye nacho au asiye nacho ni kama kucheza kamari lolote linaweza kutokea mbele.
 
Mtani watu wanaangalia future, yaanu ukae na mtu uone kuwa huko mbele kuna uwezekano wa kutoka hatua mliyopo na kuvukia nyingine.

Sasa km matarajio hayo hayapo, kuna nini tena hapo??
 
Ombea sana awe na hela nyingi na awe type yako kwenye swala la muonekano, au muonekano wake usiuone ni mbaya sana..

La sivyo utajikuta kwenye page za confession ukilalamika kua unaona aibu kuongozana na mumeo, hajakukosea chochote ila unataka talaka, karibu kila anachofanya unakiona kero shibela
Wanaume wenye sura Personal wananoga Sana Penzini!
Cha muhimu awe na vinguvu kidogo vya kunivuruga kunako bed mengine yanazungumzika Balqior 🤗🤗🤗🤗🤗
 
Saa ingine hata hao wenye nazo wana changamoto zao ikiwemo masimango.

Tena akikuona umetoka kwenye maisha ya hali ya chini ndo anaigeuza kama fimbo yaani ukimkosea kitu kidogo tu utajuta maneno yake.

Kiujumla ni kuomba tu Mungu kwani kuwa kwenye mahusiano kwa mwenye nacho au asiye nacho ni kama kucheza kamari lolote linaweza kutokea mbele.
We umenena vyema kipenzi! Hii gender ni kitu kingine aisee!
 
Maneno mengi huna hata afya, ninawasiwasi na wewe utakuwa ni kimbaumbau yaani tako emty umenyooka kama umepigwa pasi ndiyo maana huhitaji kuolewa kwa sababu unajua lazima utaumizwa tu.
Mada imekushinda sasa umeanza kuujadili wembamba wangu! Kwahiyo namm nikae hapa kujibizana huu upumbavu🤦🏽‍♀️
 
Back
Top Bottom