Wanawake wengi hawawataki wanaume maskini

Wanawake wengi hawawataki wanaume maskini

Wengi wa aina hiyo wanakuwa wametokea kwenye familia za kimasikini.

Huwa najiuliza, hivi wao hawajiulizi ni kwanini Mama zao waliwavumilia Baba zao kujenga familia katika hali ya umasikini?

Kama hela ni jambo la muhimu mwanaume kuwa nalo ili kudumisha mahusiano, kwanini Baba zao hawana?

Hapa kuna tabia inajengeka.

Kwamba Mwanamke anaiona thamani ya mwanaume pale tu ambapo huyo mwanaume atakua na hela.

Na sasa mwanaume akiwa na hela unakuwa unamtengenezea mazingira ya kutoona value ya mahusiano kwasababu anajua uko hapo kwasababu ya hela zake.

Automatically hiyo inakuwa inamkata stimu emotionally.
Mabinti wanapotea sana Mkuu kwa kuwa na matarajio yasiyo sahihi.

Na hii imepelekea wanawake wengi kubaki masingle mother au kukaa hadi umri mrefu zaidi bila kuwa ndani ya ndoa.
 
Picha lina anza mshua hana kitu zaidi ya makaratasi yake ya chuo, bimdashi ndio alikuwa ana afadhali maana palikuwa safi angalau.

walisepa tu maana mshua aliona kukubaliwa mwanzoni sio kirahisi katika familia ile, so waka jiiba hadi mkoa fulani.

Godoro wali lipata baada ya kipindi kirefu, infact nahisi ndani ya mwaka 1, mama anasema wali laliaga chaga za kitanda na yale ma msabato ya manyoya.

Miaka zaidi ya 3-4 mtaa hausomeki, deal zilipi jipa ndio maisha yaka anza kujipa.
Miaka zaidi ya 5 ilitumika kujenga himaya ambayo intelli nalia dagaa na ugali wa dona sasa hivi.

Don't let this social medias fool you, hizo standard unazo au mnazo zitamani kila mtu ana zipambania na ujue huyo mtu ana watu wake.
 
Mabinti wanapotea sana Mkuu kwa kuwa na matarajio yasiyo sahihi.

Na hii imepelekea wanawake wengi kubaki masingle mother au kukaa hadi umri mrefu zaidi bila kuwa ndani ya ndoa.
Halafu baadaye jamii inaanza kuwalaumu wanaume kwanini hawaoi.

Wakati jamii imesha set demand za sifa ya mwanaume muoaji kuwa ni lazima awe na pesa.
 
Pesa pekee sio ukamilifu anaouhitaji mwanamke kumfanya atulie.

Mwanamke haitaji kitu kimoja pekee. Ni package ya vitu vingi.

Mwanamke ni mtu mwenye asili ya matamanio kwenye mambo ambayo yako nje ya uwezo wake.

Anaweza kuwa na desire saizi ya kuwa na mwanaume mwenye hela ni kwasababu kwa wakati huo anaishi maisha magumu.

Lakini akimpata mwenye hela, anapanda thamani na saizi matamanio yake yanavuka viwango yanakuwa sio tena pesa.

Hapo utamuona akianza kuvutiwa na wanaume wenye vipaji, au wanaume ambao ni maarufu.

Unaweza kuwa na hela halafu hauna kipaji cha kucheza mpira, mwisho wa siku mke wako akatoka na athlete.

Ukiwa mcheza mpira na hauna six pack, utagongewa na Gym trainer.

Ukiwa na six pack na huna mpini mkubwa, utagongewa na kina mandingo wa mtaa.
Kwa wanyama wote pamoja na binadamu kiasharia cha kwanza cha dume/mwanaume kuwa imara ni afya bora ya mwili kuweza kuzalisha watoto, kuwinda(kwa wanyama), kujilinda na kulinda waliomzunguka na kwa binadamu inaongezeka uwezo wa kifedha.
 
Halafu baadaye jamii inaanza kuwalaumu wanaume kwanini hawaoi.

Wakati jamii imesha set demand za sifa ya mwanaume muoaji kuwa ni lazima awe na pesa.
Sijui ni hapa ninapoishi au ni kote. Ila single mothers kwa mabinti hadi wamama ni wengi sana saana mkuu.
 
Kwa wanyama wote pamoja na binadamu kiasharia cha kwanza cha dume/mwanaume kuwa imara ni afya bora ya mwili kuweza kuzalisha watoto, kuwinda(kwa wanyama), kujilinda na kulinda waliomzunguka na kwa binadamu inaongezeka uwezo wa kifedha.
Uwezo wa kifedha wa shilingi ngapi?
 
Mbele hakuendeki nyuma hakuendeki. Wanaume wa sasa na sisi hatutaki wanawake masikini. Waambie watakula walikopeleka mboga.

Waambje ile kauli mbiu ya, "Haki sawa kwa wote" tumeielewa vizuri na tunaitekeleza kwa vitendo.
 
Naona unalazimisha huyo mdogo wangu Seran akubali kwamba huyo jamaa yake hakukosa hiyo unayooita necha yenu wanaume. Lol

Kuna watu wana mapenzi ya kipekee Kipenzi Changu.

Kama walikuwa hadi wanatumia Line moja sio mchezo eti.
Daah! Wakati napanga kukuita uje kuniokoa kwenye hii debate, kumbe mmeungana kunichangia.
Kutumia line 1 kunamzuiaje mtu kuchepuka? Huyo man unakuwa naye ndani tu kama mwali mkiburudishana? Hatoki kwenye mishe? Hasafiri?
 
Ambao utamfanya mwanamke awe na uhakika wa kula yeye na familia vizuri, wa kumpa mavazi, makazi, huduma za afya na usafiri bora.
Chakula, makazi na mavazi mbona ndio mahitaji ya binadamu wote, sio mwanamke peke yake?.

Usafiri bora ni nini?
 
Chakula, makazi na mavazi mbona ndio mahitaji ya binadamu wote, sio mwanamke peke yake?.

Usafiri bora ni nini?
Hiyo Bora ni kwa ajili ya vyote.
Chakula Bora/kizuri
Makazi Bora
Mavazi Bora.
 
Hiyo Bora ni kwa ajili ya vyote.
Chakula Bora/kizuri
Makazi Bora
Mavazi Bora.
Bado haujawa specific

Kwanza kwa mujibu wa sayansi ya vyakula, chakula bora ni mchicha wa kuchemsha na sio baga wala piza.

Je unataka kunambia hayo ndio matamanio ya wanawake wanaosema wanataka mwanaume mwenye hela?
 
Usafiri mwingine wowote ambao sio bodaboda, bajaji au dalaladala.
Okay

1769857160310.jpeg
 
Mwanaume rijali provider anaejielewa haangalii umaskini wa mwanamke kama kigezo cha kutokumchagua, linapokuja swala la sex au ndoa, wanaume wengi hatujali kama huna hela, huna nguo nzuri, huna kazi, huna pa kulala unalala chini ya mwembe, kikubwa sana kwenye macho yetu uwe na muonekano mzuri na tabia inayoridhisha Kelsea
Mkuu, ungebold kabisa hii post yako. Binafsi sijawahi kuona umuhimu wa ela ya mwanamke katika maisha yangu, nahitaji awe tu na muonekano mzuri, awe na tabia njema na aniheshimu sana kama mwanaume wake.
 
Kwanini asingeniacha mapema kabla hajajipata anasubiri tu aone mwangaza ndio ajichomoe betri? Alikuwa anasubiri nini? Na unafikiri kwamba nitaona ni kawaida tu kaniacha labda kachoka na sio kwamba kajipata? Unataka ni-sugarcoat kitu ambacho kiko wazi? Huoni kama nimepotezewa muda mpaka hapo?
Usimuwekee binadamu matarajio yako yote, kuwa tayari kukutana na disappointments muda wowote. Mapenzi yabaki kuwa mapenzi na hela ibaki kuwa hela. Ukiweka macho kwenye hela maana yake hata yule uliemkuta akiwa na hela anaweza kuyumba kwa maana hiyo hautaona sababu ya kubaki nae kama ulichokifuta hakipo tena, au nae pia anaweza kutokukuthamini kwa sababu haujapitia nae magumu.
 
Bado haujawa specific

Kwanza kwa mujibu wa sayansi ya vyakula, chakula bora ni mchicha wa kuchemsha na sio baga wala piza.

Je unataka kunambia hayo ndio matamanio ya wanawake wanaosema wanataka mwanaume mwenye hela?
Hiyo ni Sayansi ya kikanjanja,
Baga, pizza, chips kuku n.k havina shida na mchicha sio Bora kuliko hivyo kwa sababu huwezi kulinganisha mchicha dhidi ya protein au wanga.
 
Sasa hao mpaka wanaongea hivyo kuna mambo wameshayaona yatawafaa huko katika level zao huwezi kutulinganisha wanawake wote na wanawake wa mitandaoni au wanaodanga kimataifa!

Mimi nimekutana na winga tukaanzia chini winga akaniacha, nimeanz amahusiano mengine nianze kukurupuka nataka mahali mls500??? Haiingii akilini so far! Kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba!
Nimetolea mfano tu kuonyesha jinsi mlivyo unrealistic lakini simaanishi kwamba wote mtakua identical hapo kwenye mfano wa mahari. Katika situation yako unrealistic expectation inaweza kuwa ni imani kwamba mara zote kosa ni la mwanaume tu, kwamba nyie wanawake hamna flaws zozote.

Kwanini umehitimisha moja kwa moja kwamba winga aekuacha sababu kapata hela? offcourse pesa zinampa mtu uwezo wa kuondoka pale ambapo anaona amedharauliwa au sio hadhi yake tena, lakini wewe mwenyewe ushawahi kujifanyia tathmini na kugundua upo perfect kabisa?

katika mapenzi yenu kabla winga hajapata hela hakuna sehemu ulimuinyesha disrespects lakini akaamua kuendelea tu na wewe kwa sababu wakati huo hakuwa na options zingine?
 
Back
Top Bottom