SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,181
- 9,797
Manaa wakisha pata boxer zakubadilisha wewe ni takataka mbwa nyoko wewe nimekaa na mtu miaka mitatu nampelekea chakula cha home na mpikia namfulia nakama kuna vipesa nampa ili aende kununua material muda simuda akaenda kumuona mzungu akamuoa wameshazaa mtoto ni mdogo anakuja kwa dharau mimi nimeshaoa ila unaweza kuw amke mdogo sintopinga ili nikurudishie fadhila zako kweli nilikaa nawewe miaka yote mimu nikafanywe hawara kweli hii ni aibuUnadhani ni kwanini wanawake wengi miaka hii hawataki kuolewa na wanaume maskini wanao anzia chini !!?