Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 12,630
- 37,130
Wengi wadhani ukianza kutamka termilogies nzito nzito ndio kuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri🤣Wanawake weng ni Wadadisi wakubwa kwenye Hisia za watu, Mahusiano (ndoa, urafiki, familia) na Nini mtu anafikiria au anahisi.
Inawezekana anapishana na info tofaut ya namna hizo kila mara ila anapuuzia.
Ndio walivyoumbwa.
Ambao wana weza zaid ya hayo ni wale waliolelewa kwenye Malezi na Elimu tofaut na aka adapt. (Kujipush to the Limit- na wakaweza) Kwahiyo inakuwa advantage kwake.
Ila hii haimanishi atapoteza ule udadisi wa hisia za watu ulioko ndan yake kama mwanamke. Au sio shemela Seran
Uwezo wa kuchambua mambo hauna uhusiano na elimu yako, utajua terminologies za kiafya(down syndrome) nitajua za kisheria(malice aforethought), maisha ndivyo yalivyo!
kila mtu ana personal interest zake..we unafurahia siasa mwingine anafurahia michezo, mwingine anapenda utawa mwingine atapenda uzinzi!🫴🏾
Emotional imtelligence, malezi ya jamii yanawaganya wawe karibu na watu huo sio udhaifu ni aina ya akili emotional and social intelligence! Kutozipa uzito au kutozichagua sio kutokuwa na idea nazo!
Hata mimi nikija hapa na ma-activist na ma theorists kama Herbert spencer, August comte, frantz fanonz, karl max na max weber, sio kila mtu kawasikia we ukija na kina charles darwin sjui gregor mendel isaac newton mi pia siwajui.. haya ya kujifunza darasani tusiringie sana kila mtu akitulia akajifunza ni rahisi kuyafaham tutofautishe uchaumbuzi na huu ujuaji mwingine.. sawa shem shem😅