Prof Phraoh AI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2024
- 1,268
- 2,310
Kwenye sheria nyingi za kimataifa kundi maalum linatajwa kuwa Wanawake, Watoto, Wazee na watu wenye ulemavu.
wakati huohuo wanawake wa dunia ya sasa wanadai 50/50
NATURE HAIJAMUUMBA MWANAMKE KUWA SAWA NA MWANAUME.
ingawa dunia ya sasa inaelekeza nguvu kubwa ili kum push mwanamke, je kwanini hadi wawekeze nguvu kubwa kumpush mwanamke kama angekia yupo sawa na mwanaume?.
kwenye nature kulinganisha jinsia ya kike na ya kiume, kuanzia kwa ndege kuku n.k hadi kwa simba. pote utakutana na role ya kiume katika dominance.
jogoo, dume la ngombe, hadi Simba dume ( na wengine wote katikati ) ni viongozi lakini wanawake wameumbiwa utii na kujali.
sifa kuu ya wanaume kwa viumbe vingi tunavyovijua ni uwezo mkubwa wa nguvu za mwili, ujasiri, utawala, n.k ambavyo katika nature vyote huonekana katika jinsia ya kiume.
Hata kwa binadamu sifa hizi zipo ki asili fikiria mchezo maarufu duniani unaweza kuwa Football, ila ni Football ya Wanaume,
Top 10 ya matajiri wa dunia ni wanaume ( katika history wamewai kuwepo wanawake ila ukisoma historia zao unakuta sehemu kubwa au yote wamerithishwa) na sehemu nyingi nyingi...muhimu utakuta wanaume wanatawala
Kwanini kwa binadamu wanawake na dunia ya sasa inataka ku forge hii na kutaka kuonyesha wanawake ni sawa na wanaume ?
kwanini hata kwenye mbio lazima wathibitishe mshindi kwa wanawake ni kweli mwanamke na hana hormone za kiume ?
ni kwanini wanawake wawekewe urahisi mfano ubunge wa viti maalum na mambo mengi ili ku hakikisha ku balance mizani wawe sawa na wanaume ?
ni kwanini wanasayansi na wote walioleta mabadiliko kwenye dunia hii katika nyanja mbalimbali ni wanaume ?
( ukisema wanawake walinyimwa fursa, kwanini wanyimwe na wanaume kama wapo sawa ?)
ukilinganisha vyote haviishi lakini kiujumla, kwanini wanawake wapo katika kundi maalum ? kundi moja na wazee, watoto na wenye ulemavu. na wakati huohuo wanataka usawa na wanaume ?
Wanawake ni viumbe muhimu na wana role yao muhimu kwenye maisha, bila wao tusingekuwepo, vile vile kwa wanaume. lakini wanawake na wanaume ni tofauti ki majukumu na hatupo sawa hata kidogo.