MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 19,424
- 40,277
Jomba unawashangaa watu wanaoishi mjengoni?Inatisha. Niliwahi kusafiri nikafikia kwa jamaa yangu ni relative. Kajenga nyumba nzuri jamaa ni mtu wa hustle sana. Kwa siku chache nilizokaa pale, hakuna siku tuliangalia taarifa ya habari, kwa sababu jamaa huwa anarudi kwa kuchelewa kama ujuavyo jiji la Dar. So shemeji na wote waliopo home ni mwendo wa tamthilia, wote wanahamia sebuleni kuangalia. Hata ratiba ya kusali ibada haipo. Nawashangaa sana wanawake