Wanawake wengi hawajui kinachoendelea nchini na duniani

Wanawake wengi hawajui kinachoendelea nchini na duniani

Sidhani kama ni kweli. Kama ni kweli Kwa nini waafrika tunaonekana hatuna akili (hatujafanya gunduzi nyingi), au wenye akili wanazaliwa tu nje ya afrika?
Wewe unafikiri Einstein, Bill Gates, Elon Musk, Shakespeare Shaban Robert, Chinua Achebe, Ngugi wa Thiong'o au Nyerere walizaliwa na akili sawa na za mzee wako??
 
Unaweza kuwa na radio ila haujatwin masafa ya fm , wewe upo am tu ,tofauti hapo ni mind setting tu
Tunapozaliwa wote tunakuwa sawa kiakili, ila tunapozidi kukua utofauti unaanza kuwepo kutokana na sababu mbalimbali.

Mi huwa nawashangaa wanaosema wazungu walizaliwa wakiwa na akili kuwazudi waafrika.
 
Unamzu
Kuna mabinti, wanawake na madem wengi wanachosha kuzungumza nao.

Hawana uelewa wa kinachoendelea nchini, duniani, kwenye tech, siasa, uchumi na biashara wala mada pana.

Mazungumzo yao ni kuhusu drama za celebrities kama kina Diamond na Zuchu. Kutwa kufuatilia watoto wa Paula na Marioo.

Halafu hawafanyii kazi ndoto zao, kwao ni jukumu la mwanaume kuzitimiza.

Mtu hana muda hata wa kufuatilia taarifa ya habari hadi unajiuliza anaishije huyu yaani yeye tamthilia tamthilia na yeye.

Wanafurahi kukomenti kwenye page za umbea wapate likes.

Hata ukimchukua mwanamke aliyesoma ukimtoa nje ya field yake hakuna kingine anachojua zaidi ya umbea.

Mfano mzuri ni hapa JF ingia majukwaa ya tech, intelligence, great thinkers, kimataifa, siasa, ajira na tenda, afya huwezi kukuta mwanamke anacomment cha maana. Ila ingia mada za umbea na ngono MMU wako active

Na hili sio janga la Tanzania tu ni dunia nzima wanawake uwezo wao wa kuchambua mambo mapana ni mdogo sana na wengi hawajui chochote kwenye hii dunia wapowapo tu.

Ni jambo la kushukuru sana kuzaliwa wanaume
Unamgumziaje, Pakawa, @rebeka83 miss gisenyi zomboko
 
Siku hizi hadi mashoga tena wale walio kike haswaa, wamepiga Engineering na MD hukooo.
Na Hawana habari wala nini. 😂😂😂😂😂

Ila straight uchwaraaa, kwa kupenda kujikwezaa, yaani hawajiaminii kabisaa
We kumbe ni gay
 
Sasa mkuu kucheza kamari nalo ni jambo la kumsifu mtu kuwa ana uelewa mpana wa mambo?
Ndio mkuu tena Sana kama wewe sio mtu wa Mpira jaribu kubet uone
Sio tuu kamari linahitaji utulivu wa akili kidogo
 
Ndiyo kwa sababu, huwa ninaamini kuwa hakuna mtu aliyezaliwa akiwa na akili kuwazidi watu wengine. Malezi, mazingira, jitihada, na jinsi mtu anavyojishape ndivyo hufanya mtu mmoja aonekane kuwa na akili kuliko mwingine.

'Wanaume wengi' wanauwezo wa kuchanganua mambo kutokana na jinsi walivyolelewe (jinsi walivyoaminishwa na jamii) na jinsi wanavyojiweka.
Lies, watu wanazaliwa wakiwa na IQ tofauti, kwasababu hilo linarithiwa.
 
Dada yangu aliwahi kuniambia "simpigii tena kura Tundu Lissu maana mwaka ule alikuja hapa Mwanza katuahidi maji ya uhakika nikamchagua wala maji yenyewe hakuleta"
 
Evolution ime wa hardwire hivyo. Wakianza kufuatilia sana hayo mambo automatically wanaanza kuwa wagumu (Tomboy)
 
Kuna mabinti, wanawake na madem wengi wanachosha kuzungumza nao.

Hawana uelewa wa kinachoendelea nchini, duniani, kwenye tech, siasa, uchumi na biashara wala mada pana.

Mazungumzo yao ni kuhusu drama za celebrities kama kina Diamond na Zuchu. Kutwa kufuatilia watoto wa Paula na Marioo.

Halafu hawafanyii kazi ndoto zao, kwao ni jukumu la mwanaume kuzitimiza.

Mtu hana muda hata wa kufuatilia taarifa ya habari hadi unajiuliza anaishije huyu yaani yeye tamthilia tamthilia na yeye.

Wanafurahi kukomenti kwenye page za umbea wapate likes.

Hata ukimchukua mwanamke aliyesoma ukimtoa nje ya field yake hakuna kingine anachojua zaidi ya umbea.

Mfano mzuri ni hapa JF ingia majukwaa ya tech, intelligence, great thinkers, kimataifa, siasa, ajira na tenda, afya huwezi kukuta mwanamke anacomment cha maana. Ila ingia mada za umbea na ngono MMU wako active

Na hili sio janga la Tanzania tu ni dunia nzima wanawake uwezo wao wa kuchambua mambo mapana ni mdogo sana na wengi hawajui chochote kwenye hii dunia wapowapo tu.

Ni jambo la kushukuru sana kuzaliwa wanaume
Kujua mambo mengi yasiyokusaidia kuongeza kipato ni ujinga kama ujinga mwingine.

Mfano unajiangaisha kujua mambo ya sayari, mara mambo ya vita ya Ukraine, mara ujiangaishe kujua ya mipira ,uje tena ujiangaishe na mambo ya siasa huo muda wote utaupata wapi zaidi ya kujitia stress tu, bora upambane kujua mambo ya field yako angalau itakujengea heshima.
 
Wamesababisha wengine tununue tv mbili ndani ya nyumba moja, ya mama na watoto wake na chumbani kwa baba akiangalia taarifa ya habari na vipindi vya maana huku mama na watoto wake wakifuatilia tamthiliya zao. Ya nini kunyang'anyana rimoti na mke huku mimi nataka niangalie taarifa ya habari wakati mke anataka aangalie tamthiliya?
 
Nyie ambao mnajinasibu mnajua mambo mengi huwa ni utoto pia

unakuta unafatilia VITA , SIASA n.k nyote wewe na hao wanawake wafatilia umbea na wewe mfatilia VITA mpo kundi moja .

kwakuwa nyote ni weakest person mna play someone's tunes

mfano mimi HOV Haya land nikae kufatilia habari za VITA zilizoanzoshwa na wanasiasa wajinga kwa maslahi NO NO

as well kuhusu teknolojia n.k watz 90% hawajui matumizi sahihi teknolojia wala kujua trending ya teknolojia inaendaje mpaka sasa.

wanawake wa tz walivyo vilaza ndo wanaume wake wako hivyo ukiona watoto wa kike mtaani kwako wamekuwa malaya na singo maza ujue huo mtaa una watoto wakiume pia waliopinda vibaya mno .
 
Ndivo inavotakiwa.

Mwanamke anatakiwa awe Soft sio Musculine kama Mwanaume, na hii ndo inaleta haiba ya kike(Feminine trait).

Mwanamke mwerevu sana, Too critical, bado tu atakuboa kama una date nae.

Ndo maana tumeumbwa kuwatala, Sasa utatawalaje kiumbe chenye uelewa sawa au zaidi na wewe? si ndo mambo ya NRNE yanatokea hapo?
mwanamke akiwa na akili sana na uwezo mkubwa wa kuchakata mambo ni ngumu sana kuishi nae hasa kizazi hiki cha kifeminism...!

Imagine unataka kwenda kulala nae akukatikie viuno,halafu anakwambia subiri kwanza kuna hotuba ya trump naingojea saa 8 usiku mara sijui nafuatilia masuala ya forex mwenendo wa USD dhidi ya Yen .

Au uoe daktari , injinia ,mwanasiasa n.k ndio utajua kuwa mwanamke akiingia kwenye hizo fields anakuwa hana muda kabisa.....na kuna sehemu ya haiba yake ya kike inapotea.

Au oa tu mwanamke msomi halafu wewe uwe kayumba uone inavyokuwa.

Usishangae waheshimiwa wanaacha wake zao huko masaki wanakwenda kuzaa na wanawake wa uswahilini tu.
 
Back
Top Bottom