Wanawake wengi hawajui kinachoendelea nchini na duniani

Kujua mambo mengi yasiyokusaidia kuongeza kipato ni ujinga kama ujinga mwingine.

Mfano unajiangaisha kujua mambo ya sayari, mara mambo ya vita ya Ukraine, mara ujiangaishe kujua ya mipira ,uje tena ujiangaishe na mambo ya siasa huo muda wote utaupata wapi zaidi ya kujitia stress tu, bora upambane kujua mambo ya field yako angalau itakujengea heshima.
Mbona wanafuatilia Diamond kamla nani au Zuchu kaliwa na nani?! Mbona wanafuatilia mtoto Jux na Priscilla? Mbona wanafuatilia ugoro wa Simba na Yanga wa akina Mangungu na Ali Kamwe?
Haya yanawasaidiaje kuongeza kipato?
 
😃😃 na wenye kujua mambo mengi wengi ni viburi, watata, hawana heshima kwenye mahusiano yao, sio wanyenyekevu, kifupi acha yawe vile vile yalivyo
 
Mbona wanafuatilia Diamond kamla nani au Zuchu kaliwa na nani?! Mbona wanafuatilia mtoto Jux na Priscilla? Mbona wanafuatilia ugoro wa Simba na Yanga wa akina Mangungu na Ali Kamwe?
Haya yanawasaidiaje kuongeza kipato?
Wana relax hawatumii nguvu kubwa ya akili.
 
Pia wanaofutalia mambo ya sayari, ancient civilizations, geopolitics n.k wana relax na wanafurahia. Mimi nikikutana na clips za habari za Ali Kamwe akichambana na Mangungu, Diamond kalala na nani au kelele za Dotto Magari, Chief Godlove na takakataka nyingine za aina hiyo huwa napata stress na siku inaharibika kabisa.
 
Ujio wa wamisionari tunauangalia kwa mtazamo chanya mjuba. Hata hao waarabu walioleta uislam si watu wazuri kwa mtazamo wako kwa wamisionari, shukuru wamisionari walijenga shule kuliko waislam na madarasa zao za dini
 
Kila mmoja afanye kile ambacho yupo interested nacho, lakini kusema watu wajue jue mambo ambayo hawana interested nayo pia ni nje ya field yao ni ujuha.
 
Ujio wa wamisionari tunauangalia kwa mtazamo chanya mjuba. Hata hao waarabu walioleta uislam si watu wazuri kwa mtazamo wako kwa wamisionari, shukuru wamisionari walijenga shule kuliko waislam na madarasa zao za dini
Unachqngia mada gani mkuu?? Upo sawa??
 
Back
Top Bottom