Wanawake wengi hawajui kinachoendelea nchini na duniani

Wanawake wengi hawajui kinachoendelea nchini na duniani

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mbona ku resit.
Kumbe ni kweli njembaz wanaumia kuona Demu au Gay anabaruza kwenye Elimu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna toto la Chalz Kitwanga enzi hizo. Toto zuri balaa toka familia ya kishua. O level 1 ya 7 na A level one ya 3 PCM. Kazi B.O.T
 
Uwezo wa akili ya mtu haupimwi kwa jinsia ya mtu , hapa kinachoonekana ni tofauti tu ya malezi kati ya mototo wa kiume na wakike.

Wapo wanaume wenye uwezo mdogo wa akili .
Pia wapo wanawake wenye uwezo mkubwa wa akili .
Bado hujawajua Wabongo vizuri, wao wanaangalia sex orientation ikoje kwako, ndipo na akili inachanganuliwa hivyo.

Wale walio Submissive, wanaonekana loser na hawana lolote, ndo unakuta wanawake na hao Bottoms gays wanaonekana dhaifu, hawana akili wala maarifa, na blaa blaa zingine.
Yote hii ni mfumo Dume. Lol
 
Hizo hoja hazina mashiko kwasababu hata wanaume wanafeli pia hayo masomo , vike vile kuna wanawake hesabu na physics huwafikii , pia nadhani hakuna somo gumu kama ubongo wako unapokea . Wanawake wengi wanapenda kujificha kwenye uzembe labda kama kuna masomo ya kutumia nguvu za mikono ndio tunaweza kusema wao hawajaumbwa hivyo. Lakini kwenye masuala ya kutumia akili huwezi kujitetea kwasababu wewe ni jinsia fulani, ukiiilisha akili yako maarifa itapokea bila kujali wewe ni jinsia gani
Swadaktaaaaaaaaa!!! Umemaliza kila kitu.
πŸ’―.
 
Mm sina.

Niache kudadisi Kwenye teknolojia, Michezo, Siasa , Mitambo / magari nk niwaze kudadisi na kuhisi nan na ananihisije 😎😎😎😎

Sina udadisi wa hizo hisia.

Wanawake wameumbwa na nguvu kubwa ya kudadis mambo ya watu zaid kuliko wanaume.
Toka umedadisi mitambo , magari, na teknologia umegundua nini?

Hakuna kiumbe asie na hisia
 
Mm sina.

Niache kudadisi Kwenye teknolojia, Michezo, Siasa , Mitambo / magari nk niwaze kudadisi na kuhisi nan na ananihisije 😎😎😎😎

Sina udadisi wa hizo hisia.

Wanawake wameumbwa na nguvu kubwa ya kudadis mambo ya watu zaid kuliko wanaume.
Sahivi wanaume uchwara ndo mnaongoza kufatilia ya watu, mara fulani ni shoga , fulani hana kile, fulani ni hivii.
Siku hizi mmekua wambea hatariiii.
Km huyu mleta mada.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bado hujawajua Wabongo vizuri, wao wanaangalia sex orientation ikoje kwako, ndipo na akili inachanganuliwa hivyo.

Wale walio Submissive, wanaonekana loser na hawana lolote, ndo unakuta wanawake na hao Bottoms gays wanaonekana dhaifu, hawana akili wala maarifa, na blaa blaa zingine.
Yote hii ni mfumo Dume. Lol
Uzuri mmoja maisha ni mchezo wa wazi , kila kitu kinaonekana matokea yake .

Samahan ,bottoms gays ni jinsi ipi tena hiyo?
 
Back
Top Bottom