Wanawake wengi hawajui kinachoendelea nchini na duniani

Toka umedadisi mitambo , magari, na teknologia umegundua nini?

Hakuna kiumbe asie na hisia

Swal lako ni irrelevant bro.

Alaf soma taratibu hoja yangu utaielewa.
Sijasema hatuna hisia.
Nimesema udadisi wa wanawake uko kwenye hisia zaid kuliko udadisi wa wanaume.

Ukiona ww ni mwanaume na udadisi wako uko kujua watu wanaokuzunguka. Maisha yao. Familia zao. Ndoa zao. Kazin kwao.

Basi jitafakari.
 
Kuna mabinti, wanawake na madem wengi wanachosha kuzungumza nao.

Hawana uelewa wa kinachoendelea nchini, duniani, kwenye tech, siasa, wala mada pana.

Mazungumzo yao ni kuhusu drama za celebrities kama kina Diamond na Zuchu. Kutwa kufuatilia watoto wa Paula na Marioo.

Halafu hawafanyii kazi ndoto zao, kwao ni jukumu la mwanaume kuzitimiza.

Mtu hana muda hata wa kufuatilia taarifa ya habari hadi unajiuliza anaishije huyu yaani yeye tamthilia tamthilia na yeye.

Wanafurahi kukomenti kwenye page za umbea wapate likes.

Hata ukimchukua mwanamke aliyesoma ukimtoa nje ya field yake hakuna kingine anachojua zaidi ya umbea.

Mfano mzuri ni hapa JF ingia majukwaa ya tech, intelligence, great thinkers, kimataifa, siasa, ajira na tenda, afya huwezi kukuta mwanamke anacomment cha maana. Ila ingia mada za umbea na ngono MMU wako active

Na hili sio janga la Tanzania tu ni dunia nzima wanawake uwezo wao wa kuchambua mambo mapana ni mdogo sana na wengi hawajui chochote kwenye hii dunia wapowapo tu.

Ni jambo la kushukuru sana kuumbwa wanaume
Mia mia mkuu.
Lakini si wanawake tu hata wanaume.
 
Inauma sana mkuu. Yaani toto mboga saba sura nzuri shepu matata halafu anagonga A ya Physics.
Lile toto zuri halafu lilikua mambo mengi , linaruka fensi kwenda club ,mitungi kwa sana ila matokeo yakitoka anatuchakaza vibaya sana .

Nakumbuka tukiwa kidato cha nne tuliletewa mtihani wa kidato cha tano wa physics kama kichangamsho tu, ile test nilivizia ticha atoke nisepe nisichafue cv kwa sababu kati ya vipanga wa physics na mimi nimo .

Ila cha kushangaza toto lilitifua 96 alie mfuatia alikua na 23 tena likizo alikua anaenda twisheni mchikichini kujifua mada za kidato cha tano
 
Swal lako ni irrelevant bro.

Alaf soma taratibu hoja yangu utaielewa.
Sijasema hatuna hisia.
Nimesema udadisi wa wanawake uko kwenye hisia zaid kuliko udadisi wa wanaume.

Ukiona ww ni mwanaume na udadisi wako uko kujua watu wanaokuzunguka. Maisha yao. Familia zao. Ndoa zao. Kazin kwao.

Basi jitafakari.
Hakuna kitu kama hicho , binadamu yeyote anao udadisi wa kila kitu kwenye mazingira yanayomzunguka, labda uwe kichaa wa majalalani tu ndio hautadadisi watu wanaokuzunguka na utakimbiza hovyo kila mtu.
 
Nadhan haujui maana ya Udadisi.

Na hata hivyo umbea huo mm sina bro.
Sina muda wala hulka ya kudadisi maisha ya watu.

Kujuana na kujua wanaokuzunguka ni sawa.
Kudadisi hapana.
Hiyo ni tabia ya kike.
 
Utajuaje bila kudadisi ? Hivi unajisikiliza kweli ?

Ngoja nitoe mfano.
Labda Uko unafanya kaz na mtu ofisini..
Na unajua kuwa ana hivi na hivi na hivi.
(Kujua sio lazima upeleleze, kujua unaweza kujua kwasababu ya info ambazo yeye ameweka wazi na ambazo anataka ww kujua).

Kudadisi ni kuchunguza kwa undan zaid. Imekuwaje awe hivi na hivi na hivi. Na info ambazo mtu mwngne labda hatak au hajakuambia.
Kuchunguza huku kwa undan zaid kwenye maisha ya watu wanao wanawake zaid na sio wanaume.

Wao wana dukuduku ya juu zaid kujua hali na hisia za watu wengne kuliko wanaume.
 
Dhumuni la kudadisi ni lipi?
 
Ni Kujua zaid.

NB: linganisha na Mwanaume vs Mwanamke + maisha ya watu(ndoa. Kazi familia ndugu jamaa na marafiki).

Au Ww una shauku na udadisi wa kujua zaid mambo ya watu?.

Kuliko shauku ya siasa. Tech. Michezo nk?
Inategemea nasimamia wapi na kwa dhumuni gani , mtu hafanyi udadis kwa kujua mambo ya watu bila sababu zake za msingi sana

Kudadisi ni mchakato wa kutaka kujua pia
 
Kuna mabinti, wanawake na madem wengi wanachosha kuzungumza nao.

Hawana uelewa wa kinachoendelea nchini, duniani, kwenye tech, siasa, wala mada pana.

Mazungumzo yao ni kuhusu drama za celebrities kama kina Diamond na Zuchu. Kutwa kufuatilia watoto wa Paula na Marioo.

Halafu hawafanyii kazi ndoto zao, kwao ni jukumu la mwanaume kuzitimiza.

Mtu hana muda hata wa kufuatilia taarifa ya habari hadi unajiuliza anaishije huyu yaani yeye tamthilia tamthilia na yeye.

Wanafurahi kukomenti kwenye page za umbea wapate likes.

Hata ukimchukua mwanamke aliyesoma ukimtoa nje ya field yake hakuna kingine anachojua zaidi ya umbea.

Mfano mzuri ni hapa JF ingia majukwaa ya tech, intelligence, great thinkers, kimataifa, siasa, ajira na tenda, afya huwezi kukuta mwanamke anacomment cha maana. Ila ingia mada za umbea na ngono MMU wako active

Na hili sio janga la Tanzania tu ni dunia nzima wanawake uwezo wao wa kuchambua mambo mapana ni mdogo sana na wengi hawajui chochote kwenye hii dunia wapowapo tu.

Ni jambo la kushukuru sana kuumbwa wanaume
Kwahiyo ume conclude kuwa ni wambea...
 
Inategemea nasimamia wapi na kwa dhumuni gani , mtu hafanyi udadis kwa kujua mambo ya watu bila sababu zake za msingi sana

Kudadisi ni mchakato wa kutaka kujua pia

Sasa wanawake weng wana shauku na udadisi mkubwa zaid kujua hisia na mambo mengne ya watu kuliko kufuatilia siasa . Michezo na Tech.

Wanawake wakiwa mashost daily wanapigiana sim lakin wanachoongea mara nying ni kusema watu na mambo mengn ya watu. (Mpaka wanakiri wenyewe adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake). Udadis wao ni mkubwa kwa angle hii.

Tofaut na wanaume.
Siwez nikanyayua sim nimpige mwana kumnanga mwana mwngne. Au kupiga sim sehem kusema nimegundua jitan yangu ama ABC.
 
Wewe umewajuaje bila kuwadadisi?
 
Back
Top Bottom