Wanawake wengi hawajui kinachoendelea nchini na duniani

Wanawake wengi hawajui kinachoendelea nchini na duniani

Sasa bora wanawake mmewazoea hata mkiwaona huko kwa madude magumu hamshangai kihivyo, shida ni hawa gays mkiwaona hamjuagi kujizuia mnashangaa as if wao hawatakiwi kiwa huko.
Mnaumiaga sanaa eeeh!! 😂😂😂😂😂😂

Kushangaa ni Lazima.
Kuumia hapana.

Kila mtu na kudra zake.

Mm naona gay weng wanafanya kaz za kike kike hasa zile zinazowapa fursa za kulundikana na wanawake.
 
Inategemea mtu na mtu.sio wote.
Ni kweli mfano Kuna wenzangu nkiwauliza Vladimir zelensky ni nani hawajui
Najiuliza haya mambo ya idf ,iron dome na vita vya Ukraine ntaanzia wapi.

Wao wanapemda jua kali na story za akina nandy na zuchu
 
Toa sababu kwa nini hawana akili kubwa sana , au unafikiri ku wa win katikati ya mapaja inafanya kuona unayo akili kuwazidi?
Wengi wao hawana uwezo wa kuchanganua mambo vilevile hawajui kinachoendelea duniani kama alivyoeleza mleta mada na hii imetokana na kujizoesha hivyo na siyo kwamba walizaliwa hivyo.
 
Good observation.

Siku ukiwa na binti yako au kama unaye mfundishe kutoku-crave validity kutoka kwa wanaume. The moment utafanya hivyo atapoteza focus.

Dunia hii mwanamke akifanikiwa kuishi kama mwanaume, amewin. 😀

Dunia ni ya wanaume….. Unfortunately
Mleta mada anawalaumu Wanawake kwa kufuatilia umbea,ila na yeye amewafuatilia Wanawake akagundua kua wanafuatilia umbea zaidi,

Sasa najiuliza,kitendo cha yeye kuwafuatilia Wanawake mpaka kugundua yote hayo dhidi yao,kitendo hicho nacho sio part ya huo umbea?
 
Akili haichagui jinsia mkuu
Ndivo inavotakiwa.

Mwanamke anatakiwa awe Soft sio Musculine kama Mwanaume, na hii ndo inaleta haiba ya kike(Feminine trait).

Mwanamke mwerevu sana, Too critical, bado tu atakuboa kama una date nae.

Ndo maana tumeumbwa kuwatala, Sasa utatawalaje kiumbe chenye uelewa sawa au zaidi na wewe? si ndo mambo ya NRNE yanatokea hapo?
 
Inategemea mtu na mtu.sio wote.
Ni kweli mfano Kuna wenzangu nkiwauliza Vladimir zelensky ni nani hawajui
Najiuliza haya mambo ya idf ,iron dome na vita vya Ukraine ntaanzia wapi.

Wao wanapemda jua kali na story za akina nandy na zuchu

Wanawake weng ni Wadadisi wakubwa kwenye Hisia za watu, Mahusiano (ndoa, urafiki, familia) na Nini mtu anafikiria au anahisi.

Inawezekana anapishana na info tofaut ya namna hizo kila mara ila anapuuzia.
Ndio walivyoumbwa.

Ambao wana weza zaid ya hayo ni wale waliolelewa kwenye Malezi na Elimu tofaut na aka adapt. (Kujipush to the Limit- na wakaweza) Kwahiyo inakuwa advantage kwake.

Ila hii haimanishi atapoteza ule udadisi wa hisia za watu ulioko ndan yake kama mwanamke. Au sio shemela Seran
 
Sasa bora wanawake mmewazoea hata mkiwaona huko kwa madude magumu hamshangai kihivyo, shida ni hawa gays mkiwaona hamjuagi kujizuia mnashangaa as if wao hawatakiwi kiwa huko.
Mnaumiaga sanaa eeeh!! 😂😂😂😂😂😂
Uwezo wa akili ya mtu haupimwi kwa jinsia ya mtu , hapa kinachoonekana ni tofauti tu ya malezi kati ya mototo wa kiume na wakike.

Wapo wanaume wenye uwezo mdogo wa akili .
Pia wapo wanawake wenye uwezo mkubwa wa akili .
 
Wanawake weng ni Wadadisi wakubwa kwenye Hisia za watu, Mahusiano (ndoa, urafiki, familia) na Nini mtu anafikiria au anahisi.

Inawezekana anapishana na info tofaut ya namna hizo kila mara ila anapuuzia.
Ndio walivyoumbwa.

Ambao wana weza zaid ya hayo ni wale waliolelewa kwenye Malezi na Elimu tofaut na aka adapt. (Kujipush to the Limit- na wakaweza) Kwahiyo inakuwa advantage kwake.

Ila hii haimanishi atapoteza ule udadisi wa hisia za watu ulioko ndan yake kama mwanamke. Au sio shemela Seran
Udadisi wa hisia za watu hata wanaume tunao
 
Civil sio ngumu, ila angalia background yake mzee, ni Mathe na Physics. Sasa angalia passmark ya Wadada Darasani kwako wakati unasoma O level utajua shida inakua wapi mpaka darasa la Civil wanawake wanakua wachache
Hizo hoja hazina mashiko kwasababu hata wanaume wanafeli pia hayo masomo , vike vile kuna wanawake hesabu na physics huwafikii , pia nadhani hakuna somo gumu kama ubongo wako unapokea . Wanawake wengi wanapenda kujificha kwenye uzembe labda kama kuna masomo ya kutumia nguvu za mikono ndio tunaweza kusema wao hawajaumbwa hivyo. Lakini kwenye masuala ya kutumia akili huwezi kujitetea kwasababu wewe ni jinsia fulani, ukiiilisha akili yako maarifa itapokea bila kujali wewe ni jinsia gani
 
Basi tupe sababu/Hoja kwanini wanawake ni wachache kwenye Fani Za Civil, Engeneers, Medical, Lawyers, Uongozi.

Huko kwenye uongozi tumshukuru JK na Viti maalumu otherwise ilikua ni majanga.

Jeshini tuache utasema huko kunakutumia nguvu 😁
 
Back
Top Bottom