Wanawake wengi hawajui kinachoendelea nchini na duniani

Wanawake wengi hawajui kinachoendelea nchini na duniani

Kuna mabinti, wanawake na madem wengi wanachosha kuzungumza nao.

Hawana uelewa wa kinachoendelea nchini, duniani, kwenye tech, siasa, uchumi na biashara wala mada pana.

Mazungumzo yao ni kuhusu drama za celebrities kama kina Diamond na Zuchu. Kutwa kufuatilia watoto wa Paula na Marioo.

Halafu hawafanyii kazi ndoto zao, kwao ni jukumu la mwanaume kuzitimiza.

Mtu hana muda hata wa kufuatilia taarifa ya habari hadi unajiuliza anaishije huyu yaani yeye tamthilia tamthilia na yeye.

Wanafurahi kukomenti kwenye page za umbea wapate likes.

Hata ukimchukua mwanamke aliyesoma ukimtoa nje ya field yake hakuna kingine anachojua zaidi ya umbea.

Mfano mzuri ni hapa JF ingia majukwaa ya tech, intelligence, great thinkers, kimataifa, siasa, ajira na tenda, afya huwezi kukuta mwanamke anacomment cha maana. Ila ingia mada za umbea na ngono MMU wako active

Na hili sio janga la Tanzania tu ni dunia nzima wanawake uwezo wao wa kuchambua mambo mapana ni mdogo sana na wengi hawajui chochote kwenye hii dunia wapowapo tu.

Ni jambo la kushukuru sana kuzaliwa wanaume
Sio kweli kuwa ni janga la Dunia. Statistic inaonesha kwa miaka ya karibuni Wanawake wa Uingereza ndio wanaoongoza kuwa active katika Sports kuliko Wanaume, na ni kuanzia 2005

Kwa nchi ya Marekani (USA) wanategemea kwa miaka 10 ijayo idadi kubwa ya madaktari wakubwa watakuwa Wanawake wenye asili ya Afrika wakifuatiwa na India

Hapo Kenya tu, Wanawake wanaijua Siasa ya nchi yao sana na huwadanganyi chochote

Ni hawa wabongo tu...kazi yao Umbea na Uchawa
 
Uwezo mdogo unapimwa na kitu gani?
Kwa uelewa wangu hizi 👇ni baadhi ya njia za kupima uwezo mdogo wa mambo.
1.vipimo vya mantiki (reasoning test).
2. Vipomo vya kumbukumbu (memory test).
3. Vipimo vya utendaji wa akili(executive function test).
4. Uwezo wa kufuatilia ama kutofuatilia mambo (attention and concentration).

Kwa hiyo wewe unaamini una uwezo wa kuchambua mambo ya maana kuliko wanawake wote humu?
 
Ilinikuta hii miezi kadhaa mwaka jana na mwana tunapiga naye project mkoa aliopo nikafikia kwake

Kmmk niliangalia tamthilia za bongo na za mbele mpaka zote nikanza kuzikariri, muda wake na mastaa. Nasikitika mpaka kidume nikaanza kufuatilia kombolela na vacation huwa najilaumu mpaka leo

Yule shemu alikuwa akishika remote yaani kuanzia saa 1 usiku ni tamthilia tu, usiku saa 4 anamalizia Ousmane Bey hadi saa 5 anaenda kulala. Jamaa mke hana

Miezi 3 sebuleni ni Evermore, My love is your fortune na takataka zingine

Nashukuru tulimaliza ile project na jamaa nikawaacha na mitamthilia yao
Wanaume wengi wanapooa wanawake huwa wanafanya trade-offs, wanakubali kukosa mambo fulani na kupata mambo fulani, inawezekana huyo shem mke wa jamaa yako ni mrembo sana au ana makalio makubwa kwa hiyo mshikaji amemkubali hivyo hivyo pamoja na akili zake ndogo ili watumie za kwake mwanaume tu lakini yeye afurahie uzuri wake au makalio yake.
 
Hivyo umekubaliana na mtoa mada kuwa kapuyanga?
Ndiyo kwa sababu, huwa ninaamini kuwa hakuna mtu aliyezaliwa akiwa na akili kuwazidi watu wengine. Malezi, mazingira, jitihada, na jinsi mtu anavyojishape ndivyo hufanya mtu mmoja aonekane kuwa na akili kuliko mwingine.

'Wanaume wengi' wanauwezo wa kuchanganua mambo kutokana na jinsi walivyolelewe (jinsi walivyoaminishwa na jamii) na jinsi wanavyojiweka.
 
Nimekuelewa
 
Kuna watu wanazaliwa na akili kuwazidi watu wengine.
 
Bora hata hao wanaojua umbea wa kina diamond,niliwah kuwa na mwanamke hajui hayo ya kiinchi wala kidunia,yaan hata wasanii wengi hawajui,drama zao tu hata za zaman hazijui

NIlichoka,kuna wakat kwenye story nataka kuweka reference lakin mwenzangu hana anachojua
 
Sasa alikuwa anajua nini?
Au labda alikuwa ni mwanamke wa kijijini asiye hata na smartphone kwa hiyo ilibidi umvumilie tu azinduke au azinduliwe.
 
😂😂😂😂😂😂😂 mbona ku resit.
Kumbe ni kweli njembaz wanaumia kuona Demu au Gay anabaruza kwenye Elimu.
😂😂😂😂😂
Cocastic, kichwa chako kinawaza mashoga tu muda wote
Mada inahusu wanawake wewe kila muda unataja mashoga tu. Sijui kwa nini upo hivyo
 
Back
Top Bottom