Halafu kila siku mnalalamika humu kua wanawake wasomi hua hawaolewi kwa ujuaji wao,mara Wanawake matajiri hua hawaolewi!
Mnawachanganya hao wanawake mpaka hawajui sasa washike lipi hasa,
Mara Mwanamke akiwa kiongozi mnalalamika,mara wengine wadai kua raha ya Mwanamke asijue mambo mengi,
Vipi kama na wao wakilalamika kua sisi Wanaume hatufuatilii mambo ya umbea,watakua wapo sahihi?
Acha kila mtu afuatilie issue ambazo yupo interested nazo,utofauti wetu na wao ndio unaifanya Dunia kua hivi,hatuwezi kufanana kwa kila jambo,
Love the life you live
Live the life you love.