Sio huyo tu watu wengi sana wameteketea kwasababu ya mwanamkeKweli wanaume wadhaifu sana kwenye uchi wa mwanamke, Jensen Huang CEO wa NVIDIA kampuni namba mbili kwa thamani duniani na inayoongoza kwenye AI amebwaga manyanga kwa kujiuzulu na kutimua mbio asifukuzwe na bodi ya NVIDIA baada kuingia katika skendo mbili za michepuko nje ya ndoa, mchepuko mmoja ukiwa ni Spy wa China na mchepuko mwingine mfanyakazi wake!
View attachment 3708881
View attachment 3708882
Mhhh, ngoja nikae kimya nisije kuwa jensen wa pili.
But with all that money and power comes very heavy temptations, na wachache tu huweza kusurvive. Hii ingetokea hata kwa billgates ila alijiwahi.
Lakini mbona kina elon musk wana wanawake kibao hapa na pale ila hawajawahi kuongelewa au kuwa judged, sometimes ni muhimu kuwa na nguvu kwenye biashara yako, ukiwa mdhaifu tu umeisha.
Ina maana hana hata timu ya usalama kumsawazishia mambo na kumkumbusha asijiachie sana!Hawa watu mara nyingine hawana akili kubwa kama wanavyodhaniwa, au wanaweza kuwa na uwezo mkubwa kwenye kitu fulani kama kuongoza kampuni, u Engineer etc, lakini wakawa wa kawaida tu kwenye mambo mengine.
Pengine u nerd wao kwenye engineering unawafanya wasiwe na uzoefu kwenye mambo mengine ya maisha, wanakamatika kirahisi.
How does someone this powerful and visible act this risky, so openly? Yule mwanamke Mchina alikuwa anambusu openly camera zinapiga picha.
Former US President Bill Clinton Na MonicaSio huyo tu watu wengi sana wameteketea kwasababu ya mwanamke
Sasa huyu kaangushwa na wanawake, au kajiangusha mwenyewe kwa ulimbukeni wa kufakamia wanawake kama ndiyo kwanza kawajua jana?Kweli wanaume wadhaifu sana kwenye uchi wa mwanamke, Jensen Huang CEO wa NVIDIA kampuni namba mbili kwa thamani duniani na inayoongoza kwenye AI amebwaga manyanga kwa kujiuzulu na kutimua mbio asifukuzwe na bodi ya NVIDIA baada kuingia katika skendo mbili za michepuko nje ya ndoa, mchepuko mmoja ukiwa ni Spy wa China na mchepuko mwingine mfanyakazi wake!
View attachment 3708881
View attachment 3708882
Hakuna mkate ngumu mbele ya chaii😁😁Former US President Bill Clinton Na Monica
Kojolea Ndani
Kwamba Esta alikuwa kazini sio😆No hard feelings, huyo mwanamke jasusi alikuwa kazini, kama alivyokuwa Delilah, Esta na wengineo.
😅
Nani amekuambia elon ana power ya zaidi ya 80%,huku naye miezi 6 iliyopita walitaka kumtoa.Point ya mwisho pia ina matter. Huyu Huang ni co-founder ina maana alianzisha hii kampuni akiwa na wenzake wawili.
Elon Musk anakuwa na nguvu maana hizo project zake nyingi yeye ndio founder mwenyewe na unakuta ndio ana asilimia kubwa ya shares na asilimia zaidi ya 80 ya total voting power. So ni kama hagusiki.
Asa jeeee! 😂Kwamba Esta alikuwa kazini sio😆
Akasema ukiona vyema, waweza kuniruhusu niandae karamu yangu.... 😆
Mfano SpaceX Musk ana total voting power ya zaidi ya 82%.Nani amekuambia elon ana power ya zaidi ya 80%,huku naye miezi 6 iliyopita walitaka kumtoa.
Hio no women no cry haikuwa na ulazima kwenye huu uzi. Huyo CEO ni udhaifu na tamaa zake umemuangushaDoh😢