Wanawake, wallahi wanajua kuomba pesa, na hawachoki!

Wanawake, wallahi wanajua kuomba pesa, na hawachoki!

Ndugu yangu wee! Ukishakuwa mwanamke deka.uingizwe ukuni,umwagiwe utomvu ukasafishie kipapa na sabuni ya nani?

Haya sawa,tufanye sihitaji penzi Wala hiyo pesa yako.mtatomber kuku safari hiišŸ¤’
Tutatomba kuku sawa ila na wewe utatombwa na mtu tu. Huna jeuri ya kumpa kuku hicho kitobo.
 
Yes, ndo maana na sisi wanaume hatulali kutafuta hizo pesa.
 
Siyo wewe tu,ni wanaume wote... maana wanaitafuta kwa shida.Anayetoa ni asili yake tu ya utoaji na utu ndani yake.( Hivi ndugai kazikwa nazo eti?)

Mtusamehe wakuu
Mwamba alikuwa mtoaji mzuri anahonga Hadi 10k USD kwa mara moja.

R.I.P
 
Kuna wanawake wana omba pesa hadi kero yaani ukiona msg ya mambo ukajibu inayo fata ni mzinga
 
Ha ha ha haaa,,,,,basi bhana jana sina hili wala lile simu yangu inaita kucheki ni nani anapiga nakuta ni ex wangu (huyu huwa tunapasha kiporo) tukapiga story mbili tatu nikamwomba appointment akaridhia tukaagana.,,,,dk moja kupita sms inaingia ni yeye akinambia anashida na 30k.
 
Michepuko ni jau sana ila ndo hivo, kama hauna akili ya kujiongeza usije kulaumu watu baadaešŸ˜Ž

Pesa ni lazima ikatike yaani taka usitake mpunga lazima utumike.
 
HIZO HELA UNGEMTOLEA MUNGU SADAKA UNGEFIKA MBALI
A64A8C61-F08B-43B6-8DB9-CB97D2DD2346.jpeg
 
Nawaita Narcissistic,
jitu zima hawezi hata kutafuta elf 10 yake kwa siku Ila Sasa anakupangia na anaona ni haki yake kabisa kutumia pesa zako,
na kichaa chao cha kutaka iPhone pro max sijui, shower gel za 50k na packages za skin care wakati wamekuwa wanapaka mafuta ya alizeti,stupid kabisa.
Ukicalculate kwa makini sana pesa wanazotumia ni majini kabisa (siyo wote Ila ni wengi wao)..
wabarikiwe sana hawa Dada zetu waliojitambua na wanadhamini utu wao wanapambana kutuuzia chakula na mahitaji madogo madogo mtaani.
 
Wanaumeee!
Kuweni waagalifu na mifuko yenu!
Pita pita zangu huku na huko nimegundua kuwa wanawake wote ni sawa, na Afrika ni moja!
Nimeachana na ze chepukoz wa zamani, lakini naona niliyempata ni chepuko kabisa!

Ni chepuko la maana lakini mambo ni yale yale!

-anataka simu ya tachi,
-vocha iliisha hebu tuma salio
- simu yake nyingine ina deni, anaomba kumlipia
-kodi ya chumba mpenzi nilipie
-mama anaumwa, kalazwa

Halafu, hatujaonana siku mbili, ananimisi!

-Birthday yaje weeken
-ana deni la kikoba, tfadhali nimlipie
-anashinda njaa ofisini anaomba hela ya lunch
-dera jipya limetoka, fanya mpango
-sijasuka mtindo mpya, tafadhali nilipie

Hii ni balaa wanaume.
Sijui simu yake chepuko, ni block kwa muda?
Ngoja waje wale jamaa wa 'TAFUTA HELA' wakusanue
 
Tatizo linaanza na wewe mwenye, lazima ujue namna ya kukataa na kutokuendekeza vitu usivyovikubali.

Kwanini wewe kumwambia sikupi unashindwa nini?
 
Hakika hiyo hutokea kwakuwa wajinga wanakufa na kuzaliwa kila Leo .

Hesabu za kifizikia zinagoma MTU akufurahishe na akupe na hela na wakati anakufarhisha anapoteza uhai wake kupitia via vya uzazi ahaaa .
Ukweli unaujua hata wewe pesa unatoa vizuri tu..!!
Sema hapa lazima uwaaminishe wenzio uongo.

Halafu watu km nyie mnakuwaga mazube mnalilia wanawake mpk huruma 😹😹
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom