Wanawake, wallahi wanajua kuomba pesa, na hawachoki!

Wanawake, wallahi wanajua kuomba pesa, na hawachoki!

Mi mchepuko akinitumia meseji "baby naomba elf 30 nikasuke"

Kichwani hua nawaza hivi hii meseji nimetumiwa mimi peke yangu? Basi naamua kupiga kimya nasema acha watume wenzangu.
Hahahahah ni kweli maana kwa hapo ni lazima muwe wengi
 
Mi mchepuko akinitumia meseji "baby naomba elf 30 nikasuke"

Kichwani hua nawaza hivi hii meseji nimetumiwa mimi peke yangu? Basi naamua kupiga kimya nasema acha watume wenzangu.
Ha ha ha!
Nsmi machale huwa yananicheza!
 
Wataomba sana .......coz hela muda wote ipo kiumeni ambao ndo wanafanya kazi kuitafuta hiyo hela, we tembea njia zote alafu observe utagundua wanaofanya kazi 80% ni wanaume.........wanawake ni omba omba na dependant naturally
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom