Wanawake, wallahi wanajua kuomba pesa, na hawachoki!

Wanawake, wallahi wanajua kuomba pesa, na hawachoki!

Wanaumeee!
Kuweni waagalifu na mifuko yenu!
Pita pita zangu huku na huko nimegundua kuwa wanawake wote ni sawa, na Afrika ni moja!
Nimeachana na ze chepukoz wa zamani, lakini naona niliyempata ni chepuko kabisa!

Ni chepuko la maana lakini mambo ni yale yale!

-anataka simu ya tachi,
-vocha iliisha hebu tuma salio
- simu yake nyingine ina deni, anaomba kumlipia
-kodi ya chumba mpenzi nilipie
-mama anaumwa, kalazwa

Halafu, hatujaonana siku mbili, ananimisi!

-Birthday yaje weeken
-ana deni la kikoba, tfadhali nimlipie
-anashinda njaa ofisini anaomba hela ya lunch
-dera jipya limetoka, fanya mpango
-sijasuka mtindo mpya, tafadhali nilipie

Hii ni balaa wanaume.
Sijui simu yake chepuko, ni block kwa muda?
Ukitongoza leo tu kesho birthday
 
Sipendelei kabisaa kuombwa pesa. Nina allergy na hili suala hasa toka kwa wanawake
Mahusiano yangu hayadumu kwasababu ya mkono mfupi, naweza kua nayo na nisimpe tu nikaenda kunywa bia.

Kitu mi sipendi ni ile uongo uongo sometimes wa kijinga ili akuchomoe hela, ukiangalia hata hamna achooffer hata mbususu kwa manati.
 
Hapana, mke hapaswi kukuomba hela,unatakiwa umhudumie kama uchumi uko sawa. Kama hauko sawa basi unatakiwa kuhakikisha basic stuffs hazitetereki, extra ndio zinaweza subiri.
Nimeona nikurekebishe hapo. Mke haombi hela, japo kuna namna anaweza akawa demanding wakat anaona situation haziko poa. Hapa ndipo unaweza muweka kundi moja na hawa vipengele wengine.

Wanao omba omba pesa ni hawa kasongo wa nje, ndio unaweza waita omba omba.

Back to question.
Ex wife migogoro yetu haikua directly proportion to pesa, hapana, japo ujeuri na matukio yale yalizid baada ya shughuli za uchumi kukutana na mkwamo, sasa katika harakati za kuweka mambo sawa hapa ndipo tulipishana nae, akaanza ku swampa anavyojua yeye na mimi sikuona taabu kum grant her life of choice.
Hujanielewa, nimeuliza ex wife wako kabla hujamuoa, alikuwa anaekuomba omba hela Fanton Mahal
 
🫩
3b44cc28c0ed446a944b36ff21434022.jpg
 
Ndugu yangu wee! Ukishakuwa mwanamke deka.uingizwe ukuni,umwagiwe utomvu ukasafishie kipapa na sabuni ya nani?

Haya sawa,tufanye sihitaji penzi Wala hiyo pesa yako.mtatomber kuku safari hii🤒
UKUNI,KUKU,SABUNI,SAFARI,PESA,

Misamiati
 
Hujanielewa, nimeuliza ex wife wako kabla hujamuoa, alikuwa anaekuomba omba hela Fanton Mahal
Hapanaa kabisaa.. sisi tulikutana kazini japo tulikua bado wadogo sana ndio kwanza tumetoka form 6. So kila mtu alikua anaweza aka finance outing, japo nilikua kama mwanaume na spend ila hakua mzigo kabisaa. Kwakifupi hakua omba omba.

NB
Usijitese kuhudumia mwanamke asiye mke wako. Hapo sikushauri hata kidogo, ndio mtakuja kujitoa uhai siku mnapokuja kujua hakua wako peke yako
 
Ndugu yangu wee! Ukishakuwa mwanamke deka.uingizwe ukuni,umwagiwe utomvu ukasafishie kipapa na sabuni ya nani?

Haya sawa,tufanye sihitaji penzi Wala hiyo pesa yako.mtatomber kuku safari hii🤒
Ukiondoa Hilo tundu ulilo nalo basi huna kingine cha maana??? Unaona unastahili kuomba hela ovyo kama Omba omba kwasababu umepasuka mara mbili katikati ya miguu???
 
Ukiondoa Hilo tundu ulilo nalo basi huna kingine cha maana??? Unaona unastahili kuomba hela ovyo kama Omba omba kwasababu umepakuka mara mbili katikati ya miguu???
Ni sahihi kabisa mkuu,ulitaka nikupe Nini kingine mkuu?
Kama pesa ya mwanamke unaitaka pia we kuwa wazi tu
Afu kuitwa ombaomba wakati nawe unaombwaombwa haiumizi sana.
Na kama hili tundu halina umuhimu ngoja tuwaulize waliotuzaa mkuu 🤣🤣🤣🤭
 
Ni sahihi kabisa mkuu,ulitaka nikupe Nini kingine mkuu?
Kama pesa ya mwanamke unaitaka pia we kuwa wazi tu
Afu kuitwa ombaomba wakati nawe unaombwaombwa haiumizi sana.
Na kama hili tundu halina umuhimu ngoja tuwaulize waliotuzaa mkuu 🤣🤣🤣🤭
Tafuta kazi ya kufanya uwe na uwezo wa kumudu mahitaji yako madogo madogo sio kwasababu unepasuka katikati ya miguu ndio utake kuhudumiwa kama wewe ni kundi la watu wenye mahitaji maalumu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom