Wanawake, wallahi wanajua kuomba pesa, na hawachoki!

Wanawake, wallahi wanajua kuomba pesa, na hawachoki!

Ukiwaendekeza sana lazima uangukie kwenye umasikini, nuksi, magonjwa ya moyo na akili.
Muhimu, tafuta mmoja anayejielewa.​
 
Sipendelei kabisaa kuombwa pesa. Nina allergy na hili suala hasa toka kwa wanawake
Nina swali, kumradhi kama litakukwaza, yule ex wife mliofikishana Hadi mahakamani kupeana talaka, mlivokua kwenye talking stage, alikua ana tabia ya kukuomba omba hela.

Tuambie kwa faida ya sisi wanaume ambao tuna mpango wa kuoa Fanton Mahal
 
Kwahiyo Vibumbu unaweza kuilinganisha na PESA ?

Na kikawaida anayetoa Vibumbu ndo hupata raha kuliko anayepewa .

Yaani MTU akupe pesa wakati anakufurahisha hii imekaaje ???
Mwenye uhakika wa kufika kileleni lazima ahudumie..!!

Wewe una uhakika gani km tunafurahishwa?
Mwanamke anaweza kufanya mapenzi na wewe asifike kileleni hata mwaka lakini wewe ili umalize lazima ufike kileleni..!!

Bro utanichosha toeni pesa..!!
 
Hamna kitu Kama hicho mkuu. PESA watatoa ambao hawaelewi haya mambo kati ya apatite and hungry.
 
Wanaumeee!
Kuweni waagalifu na mifuko yenu!
Pita pita zangu huku na huko nimegundua kuwa wanawake wote ni sawa, na Afrika ni moja!
Nimeachana na ze chepukoz wa zamani, lakini naona niliyempata ni chepuko kabisa!

Ni chepuko la maana lakini mambo ni yale yale!

-anataka simu ya tachi,
-vocha iliisha hebu tuma salio
- simu yake nyingine ina deni, anaomba kumlipia
-kodi ya chumba mpenzi nilipie
-mama anaumwa, kalazwa

Halafu, hatujaonana siku mbili, ananimisi!

-Birthday yaje weeken
-ana deni la kikoba, tfadhali nimlipie
-anashinda njaa ofisini anaomba hela ya lunch
-dera jipya limetoka, fanya mpango
-sijasuka mtindo mpya, tafadhali nilipie

Hii ni balaa wanaume.
Sijui simu yake chepuko, ni block kwa muda?
Kausha usijibu kitu kwa muda,ila ujue hawasahau hao watu,mmoja anadai rejesho kikob kila akisema namwambia sikumbuki kama Kuna kitu kama hicho
 
Uzuri wanaume zetu mnabweka mitandaoni ila huku mtaani mnatoa vizuri na mnauliza km inatosha? 😹😹
Hakika hiyo hutokea kwakuwa wajinga wanakufa na kuzaliwa kila Leo .

Hesabu za kifizikia zinagoma MTU akufurahishe na akupe na hela na wakati anakufarhisha anapoteza uhai wake kupitia via vya uzazi ahaaa .
 
Nina swali, kumradhi kama litakukwaza, yule ex wife mliofikishana Hadi mahakamani kupeana talaka, mlivokua kwenye talking stage, alikua ana tabia ya kukuomba omba hela.

Tuambie kwa faida ya sisi wanaume ambao tuna mpango wa kuoa Fanton Mahal
Hapana, mke hapaswi kukuomba hela,unatakiwa umhudumie kama uchumi uko sawa. Kama hauko sawa basi unatakiwa kuhakikisha basic stuffs hazitetereki, extra ndio zinaweza subiri.
Nimeona nikurekebishe hapo. Mke haombi hela, japo kuna namna anaweza akawa demanding wakat anaona situation haziko poa. Hapa ndipo unaweza muweka kundi moja na hawa vipengele wengine.

Wanao omba omba pesa ni hawa kasongo wa nje, ndio unaweza waita omba omba.

Back to question.
Ex wife migogoro yetu haikua directly proportion to pesa, hapana, japo ujeuri na matukio yale yalizid baada ya shughuli za uchumi kukutana na mkwamo, sasa katika harakati za kuweka mambo sawa hapa ndipo tulipishana nae, akaanza ku swampa anavyojua yeye na mimi sikuona taabu kum grant her life of choice.
 
Wanawake wote wanajiuza. Wametofautiana mbinu za biashara tu. Kuna wanaijiuza direct na wanajiuza indirect. Kinachosikitisha ni hawa wanaojiuza indirect kujiona wao ni decent women na kuwasakama wanaojiuza direct kwa kuwaita malaya au wadangaji wakati kimsingi wote wanafanya biashara moja.
Naweza kubaliana na wewe.
 
Wanaumeee!
Kuweni waagalifu na mifuko yenu!
Pita pita zangu huku na huko nimegundua kuwa wanawake wote ni sawa, na Afrika ni moja!
Nimeachana na ze chepukoz wa zamani, lakini naona niliyempata ni chepuko kabisa!

Ni chepuko la maana lakini mambo ni yale yale!

-anataka simu ya tachi,
-vocha iliisha hebu tuma salio
- simu yake nyingine ina deni, anaomba kumlipia
-kodi ya chumba mpenzi nilipie
-mama anaumwa, kalazwa

Halafu, hatujaonana siku mbili, ananimisi!

-Birthday yaje weeken
-ana deni la kikoba, tfadhali nimlipie
-anashinda njaa ofisini anaomba hela ya lunch
-dera jipya limetoka, fanya mpango
-sijasuka mtindo mpya, tafadhali nilipie

Hii ni balaa wanaume.
Sijui simu yake chepuko, ni block kwa muda?
Ili iwe sawa na kule nyumbani unakoacha pesa bila kuulizwa hakuna mteremko wanasema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom