Wanawake, wallahi wanajua kuomba pesa, na hawachoki!

❤️Huu ndiyo uanaume sasa,afu mwanamke ukishamcare hata Mara moja anajua tayari huyu mtu ana utu hata kama huna
Ni kwel ila sio wengi ujue. Mwingine akishajua una kitu ya ku care anaigeuza kuwa wajibu wa lazima.
U know migogoro yangu na ex wife nina uhakika ilichochewa na mimi kuacha kazi na kuingia kwenye biashara. Tukapita kwenye transition period moja ambayo mpaka kesho huwa na appreciate mnooo the way ali hold on. But mwishon kabisaa ,yan tunavuka Yordan tuingia Kaanani akaishiwa pawa ndio kunianzishia mazongeee na matukio. Simlaumu. Ila baada ya mahakama kumaliza shauri letu nikamwambia neno moja "i dont blame you, ila nasikitika sana kuwa ume give up at a very very very wrong time. Yan ulichokifanya ni mistake na ni wrong timmimg, hili nakusikitikia".
Yan kitendo cha kuondoka tuuu , shwaaaaa!!!! Back in the game.

So unaweza ukaona kuna wanawake wengine hata kama anajua kuwa u use to care, but wana nature tu ya kuwa demanding regardless
 
Kwani ulikuwa huna kitu kabisa uliposhuka kiuchumi? I mean ulimtegemea sana kifedha?
Maana wanawake majukumu yakituzidia tunashindwa mkuu
 
Wanaumeee!
Kuweni waagalifu na mifuko yenu!
Pita pita zangu huku na huko nimegundua kuwa wanawake wote ni sawa, na Afrika ni moja!
Nimeachana na ze chepukoz wa zamani, lakini naona niliyempata ni chepuko kabisa!

Ni chepuko la maana lakini mambo ni yale yale!

-anataka simu ya tachi,
-vocha iliisha hebu tuma salio
- simu yake nyingine ina deni, anaomba kumlipia
-kodi ya chumba mpenzi nilipie
-mama anaumwa, kalazwa

Halafu, hatujaonana siku mbili, ananimisi!

-Birthday yaje weeken
-ana deni la kikoba, tfadhali nimlipie
-anashinda njaa ofisini anaomba hela ya lunch
-dera jipya limetoka, fanya mpango
-sijasuka mtindo mpya, tafadhali nilipie

Hii ni balaa wanaume.
Sijui simu yake chepuko, ni block kwa muda?
Ni hatari sana
 
Wanawake wengi siku hizi wana madeni
 
Wewe ndie mfadhili usichoke mkuu toa pesa usilalamike.

To be honest Nina allergies na wanawake omba omba yaan sijui kwa nini mwanamke wa aina iyo atakuletea ukimwi na gono na UTI sugu maana lazima awe anauza mtu akimpa dau.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom