Ubaya wa dwmu hata mkachana hautak tena kibwawa chake ela ww atakuomba sijui hata manake nnNyie mkichoka kuomba vibumbu na sisi tutachoka kuomba pesa..!!
Ubaya wa dwmu hata mkachana hautak tena kibwawa chake ela ww atakuomba sijui hata manake nnNyie mkichoka kuomba vibumbu na sisi tutachoka kuomba pesa..!!
Unaishiwa pawa 😂😂😂Hapo ndo naishiwa nguvu!!!!
Japo kiukweli inakera sana wanawake kuomba omba hela kila mara but nikijaribu kuvaa viatu vyao kuruhusu mwanaume kujitombeah **** bure pia inafikirisha sana.Inategemea km unataka kumiliki kila ukijisikia upige lazima na uombaji wa pesa ubadilike..!!
Halafu soma tena nilichoandika uelewe usiwe unakurupuka..!!
Bora umeuliza! Huyu jamaa ameniogopesha mpaka nimekosa pozi...Hiv kumbe huwa tunapoteza uhai ??? Sirudii tena 😂😂
Nikipiga hesabu naona Bora nipaki na beer tuWanaumeee!
Kuweni waagalifu na mifuko yenu!
Pita pita zangu huku na huko nimegundua kuwa wanawake wote ni sawa, na Afrika ni moja!
Nimeachana na ze chepukoz wa zamani, lakini naona niliyempata ni chepuko kabisa!
Ni chepuko la maana lakini mambo ni yale yale!
-anataka simu ya tachi,
-vocha iliisha hebu tuma salio
- simu yake nyingine ina deni, anaomba kumlipia
-kodi ya chumba mpenzi nilipie
-mama anaumwa, kalazwa
Halafu, hatujaonana siku mbili, ananimisi!
-Birthday yaje weeken
-ana deni la kikoba, tfadhali nimlipie
-anashinda njaa ofisini anaomba hela ya lunch
-dera jipya limetoka, fanya mpango
-sijasuka mtindo mpya, tafadhali nilipie
Hii ni balaa wanaume.
Sijui simu yake chepuko, ni block kwa muda?
Hapo juu umesemaje?🤣🤣🤣Punguza asilimia tafadhali...umepiga mno
Ukisema tu MAMBO tayari Pasta Tony yupo nyumbani kufyonza gas badala ya kuijaza.Ukitongoza leo tu kesho birthday
Vibumbu tunaoata raha wote tena nyinyi ndio mnatusumbua usiku tukiwa tumechokaNyie mkichoka kuomba vibumbu na sisi tutachoka kuomba pesa..!!
Hyo mistari miwili ya mwisho umetumia lugha kali sana na kwa wapenzi wa hiphop mara ya mwisho huo uandishi walikua wanauona kwa the late 2 Pac.Ukiondoa Hilo tundu ulilo nalo basi huna kingine cha maana??? Unaona unastahili kuomba hela ovyo kama Omba omba kwasababu umepasuka mara mbili katikati ya miguu???
Inatofauti gani na ile ya homeTulia na mke wako mkuu. Hivyo vitu anavyotaka mchepuko ukimpa mkeo nusu yake tu wala hutafikiria kuhangaika. Michepuko tupaipenda tu kwa sababu ya mbususu ila gharama zake ni kubwa. Kutelekeza familia, nuksi, kuchezea hela, magonjwa etc
Duh bado unamuwazaNi kwel ila sio wengi ujue. Mwingine akishajua una kitu ya ku care anaigeuza kuwa wajibu wa lazima.
U know migogoro yangu na ex wife nina uhakika ilichochewa na mimi kuacha kazi na kuingia kwenye biashara. Tukapita kwenye transition period moja ambayo mpaka kesho huwa na appreciate mnooo the way ali hold on. But mwishon kabisaa ,yan tunavuka Yordan tuingia Kaanani akaishiwa pawa ndio kunianzishia mazongeee na matukio. Simlaumu. Ila baada ya mahakama kumaliza shauri letu nikamwambia neno moja "i dont blame you, ila nasikitika sana kuwa ume give up at a very very very wrong time. Yan ulichokifanya ni mistake na ni wrong timmimg, hili nakusikitikia".
Yan kitendo cha kuondoka tuuu , shwaaaaa!!!! Back in the game.
So unaweza ukaona kuna wanawake wengine hata kama anajua kuwa u use to care, but wana nature tu ya kuwa demanding regardless
Chaputa haijafa dadaaNdugu yangu wee! Ukishakuwa mwanamke deka.uingizwe ukuni,umwagiwe utomvu ukasafishie kipapa na sabuni ya nani?
Haya sawa,tufanye sihitaji penzi Wala hiyo pesa yako.mtatomber kuku safari hii🤒
Yaaani wakati nasoma hii thread Nimepokea Message inayosema kama ifuatavyo, Nitamuita aliyenitumia jina la Vicky (jina bandia ili kumsitili )Wanaumeee!
Kuweni waagalifu na mifuko yenu!
Pita pita zangu huku na huko nimegundua kuwa wanawake wote ni sawa, na Afrika ni moja!
Nimeachana na ze chepukoz wa zamani, lakini naona niliyempata ni chepuko kabisa!
Ni chepuko la maana lakini mambo ni yale yale!
-anataka simu ya tachi,
-vocha iliisha hebu tuma salio
- simu yake nyingine ina deni, anaomba kumlipia
-kodi ya chumba mpenzi nilipie
-mama anaumwa, kalazwa
Halafu, hatujaonana siku mbili, ananimisi!
-Birthday yaje weeken
-ana deni la kikoba, tfadhali nimlipie
-anashinda njaa ofisini anaomba hela ya lunch
-dera jipya limetoka, fanya mpango
-sijasuka mtindo mpya, tafadhali nilipie
Hii ni balaa wanaume.
Sijui simu yake chepuko, ni block kwa muda?
Ha ha ha...!Ukitongoza leo tu kesho birthday
Unacholewa kabla hujapoa!Yaaani wakati nasoma hii thread Nimepokea Message inayosema kama ifuatavyo, Nitamuita aliyenitumia jina la Vicky (jina bandia ili kumsitili )
Vicky - Daddy Nikumiss .....
Daddy - Hujambo wewe zatola juzi?
Vicky - Daddy kuna jambo nataka nikwambie lakini naona haya.
Daddy- Niambie tu usihofu
Vicky - Nitumie elfu 50 nikanunue chupa mbili za wine niondoe mawazo juu yako ......
Daddy - Kimya.....
Sijamjibu mpaka muda huu kwani juzi tulispend time together nikampa 35k ya " Nauli " imagine wakuu.... na hii siyo mara ya kwanza au ya hamsini ....... ni kama wimbo ..
..
Sema huna hela tuSipendelei kabisaa kuombwa pesa. Nina allergy na hili suala hasa toka kwa wanawake
Hakikisha hao mbusii sisini wako salamaUmerudi mapema sana boss!