hayo mapenzi ya kuangalia pua, macho, urefu, ufupi, baunsa au mwembamba mwisho form four na hata mtoa mada naona ni form two, siku hizi kinachoangaliwa ni future ya mtu tu kuwa mrefu hata mita hamsini kama huna kitu ni bureee, chamsingi tengeneza maisha yako tembelea mkoko wa heshima, nyumba ya kifahari utaona
Mwanaume mrefu ana futi ngapi???
teh..teh..mvuto unakaa kwenye urefu!! Mbona wanawake hamueleweki? mara mseme mnapendelea kifua, dushelele nk. kweli wanawake huvutiwa na vitu vya ajabu kweli!!!
Bongo noma dada yangu Lady doctor usisikie kwani hakuna mfano.
Harafu wanaume warefu wengi wanajaaliwa kuwa na mshiko mrefu.
si bure utakuwa tolest wewe lol!
Hahaha! vp dear unapenda niwe mrefu eeh?
hahaha....... Napesa ndefu pia uwenayo hahaha!
hahaha....... Napesa ndefu pia uwenayo hahaha!
Ondoa my da!!
Wewe mtoa mada badili heading isomeke " wanaume wenye walet nene ndo ugonjwa wa wanawake wa kizazi hiki" FULL STOP
Hahahahhh. Mara>>>>
Kifua chuma
Dushelele inayokaribia kufika gotini
Mwenye kazi nzuri
Mwenye degree n.k.
Kazi ipo
mme wangu mrefu,184cm,na wanangu wawili wa kiume wanafuata urefu wa baba yao,haya wenye watoto wa kike karibuni mpiganie kuwa wakwe zangu