Wisest man
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 993
- 333
niondoe nini? Kama sijaelewa vilee!!!!!
Wacwac! umeamkaje da?
niondoe nini? Kama sijaelewa vilee!!!!!
Nafanya kazi na jamaa fulani (Betrand kutoka Haiti). Jamaa Ni marefu around 6f 2 na mwembamba. Tukienda nae Club yeye Ni kubadilisha watoto tu. Tatizo lake Hana Stability: Anahama kila siku, anabadilisha wasichana kila siku. Tunapokea mshahara pamoja, lakini Baada ya siku mbili tu anaanza kubomu wenzake. Anafua nguo zake mara chache sana. Mara kwa mara anakuja kazini amelewa. Huwa nashangaa sana alivyoweza kudumu Hapa kazini. Sio rahisi kupata full package, hosusani panapohusu sisi binadamu.
Wengi wa wafupi naowajua wana vijitabia vya kuudhi...nasikia ni tokana na inferiority...
Wanapenda kujitutumua wajulikane nao wapo...
ni wabishi
wagomvi
sijuhi wenye waume wafupi kama hivi vitabia wanaviendeleza hata majumbani...maana itakuwa shida.
very very well said..... mengine yooote blabla tu
Hahahaa haaaa lol
wabishi haoo!
Proud f mume wangu mtarajiwa mrefu
Wacwac! umeamkaje da?
Wengi wa wafupi naowajua wana vijitabia vya kuudhi...nasikia ni tokana na inferiority...
Wanapenda kujitutumua wajulikane nao wapo...
ni wabishi
wagomvi
sijuhi wenye waume wafupi kama hivi vitabia wanaviendeleza hata majumbani...maana itakuwa shida.
DA for real siku hiz apearence z dead n gone........wallet yako mjomba.....uwe mrefu then hauna mawe nan akutake?very few in the world today
wakuu ninayo mada fupi sana, hivi kwa nini wanaume warefu wanapendwa sana na wasichana kuliko wale wafupi? yaani mabinti uwaambii kitu kwa wanaume warefu unaweza kudhania wana bahati sana lakini sio kwa wafupi. wale wataalam wa mambo ya mahusiano watujuze kwa kina.
Vipi wewe unapenda mwanaume mrefu au mfupi mnene na kitambi cha chini.wakuu ninayo mada fupi sana, hivi kwa nini wanaume warefu wanapendwa sana na wasichana kuliko wale wafupi? yaani mabinti uwaambii kitu kwa wanaume warefu unaweza kudhania wana bahati sana lakini sio kwa wafupi. wale wataalam wa mambo ya mahusiano watujuze kwa kina.