Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

mambomoto

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
326
Reaction score
238
Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume walio warefu. Achilia mbali vitu kama Mshiko(ATM) nk ambavyo vinachangia lakini huwa wanajisikia fahari kuwa na mwanaume mrefu.

Wakuu ktk pitapita zangu za kila siku nakutana na minong'ono kuwa wanaume warefu wana mvuto mkubwa kwa wanawake tofauti na wenzao wafupi.

Hii nimeisikia kwa baadhi ya wanaume wakikiri kuwa wanaume warefu wanakubalika kirahisi kwa wanawake, basi nikajaribu upande wa pili nisikie wenyewe wanachosema, wengi wamekiri kuwa wanaume warefu wana mvuto sana ila tatizo ni mila na desturi za kwetu haziruhusu mwanamke kumtongoza mwanaume.

Mwingine akaniambia kuwa wanaume warefu wengi wao wana confidence na wanajikubali sana, wapo wengi tu wanaokubali kuwa wanaume warefu wanakuwa ni wenye mvuto, sasa wanawake wa JF na nyie mnasemaje?
 
Mimi mfupi lakn mbona issue ya wanawake sina shida,....huo ni uzushi

Umeonae...

Na hili limewafanya wanaume wengi warefu kufail mambo mengi katika maisha, kwa kudhani kuwa kila mtu anawaadmire...
Kwenye interview wanashindwa kirahisi sana na wafupi kwa kudhani urefu wao utawabeba. Lakini kwenye kutafuta ela pia...
 
Tuko,....

TuKO PAMAOJA MKUUU,..............urefu ama ufufi sio kigezo cha kupima ufanisi wa jambo lolote,..anyway ngoja tusubiri warefu waje na masifa yao hapa wakidhani watashinda kwa hoja zao dhaifu
 
Back
Top Bottom