lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Vipi wewe unapenda mwanaume mrefu au mfupi mnene na kitambi cha chini.
swissme
mkuu toa hoja acha kupindisha mada sawa
Vipi wewe unapenda mwanaume mrefu au mfupi mnene na kitambi cha chini.
swissme
Wanawake wanataka security kwahiyo wakiwa na wanaume warefu kupita wao wanafeel secured
Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume walio warefu. Achilia mbali vitu kama Mshiko(ATM) nk ambavyo vinachangia lakini huwa wanajisikia fahari kuwa na mwanaume mrefu.
Hahahaha nimecheka. Bahati mbaya sioni kidude cha thanx. So? Hii hapa: thanx
Wanakuwa na inferiorite complex hasa wanapokuwa na warefu.
Hii thread imenisaidia kutambua wanaume warefu na wafupi! Wafupi utawajua tu kwa comments zao.
mh mh mh we unanitukania mme wangu
Munanikatisha tamaa nyau nyie, me dem wangu mrefu zaid yangu hizo maada mnataka kusababsha nijishtukie!
Hahahaaaaaa!!!