Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

huu umagharibi utatupeleka pabaya, haya tusubiri na hii sera ya davd cameroon ishike kasi tutukuja kusikia 0713.. ndio habari ya mjini.
 
Yaani kumbe Ridhiwanai naye anawabeba enheee? Naomba niuulize, kwa urefu wangu wa 5'10 nahesabika kama mbilikimo kwenu kina mama au:frusty:.....naomba jibu sahihi kabla sijaanza kula dawa za kichina.
5'10 si ni kama kimba la mwisho!!! samahani mkuu lakini.
 
heheheheheheheeeeeee_kumbe ndio maana yule sister duuh kanikataa.
 
Aisee wisest man hujatulia, sasa huo mzigo wa mwisho ndio unakuwa na urefu gani? Kwi kwi kwi.
 
Faida ingine ni kwamba mamen warefu wengi kama sio wote wana mashine kubwa c kama maanduje.
 
Duh... Msiwapige sana mawe maandunje wakuu!
 
Dah...naona umetuwakilisha poa watu wafupi mkuu acha nilog off warefu waendelee kufarijiana.

hahahaha inaonekana una vijisent ndo maana unawala hao mamiss cjui na vbonge! vinginevyo wanakuchora tu,nahisi na jina washakutungia ANDUNJEEE hahaha! warefu+wallet ndo khabaree ya mujiniii
 
Hii haina ukweli! Mm ni mfupi kiasi lkn nimewala wadada warefu, wafupi, wanene, wembamba, warembo(top 5 miss tanzania)
Kama huamini nipe namba ya mkeo au demu wako uone!

heheee inaonesha una vijicent so wanakuchuna haha no truuu lovee! fun enough washakutungia jina waitwa Andujee hahahah
 
yani bestito hujakossea hata kidogo ila daddy yeye ni mnene kiasi halafu ni mrefu kidogo kwa kwenda chini aelekei sana kwa hasheem thabit
watu8 kwa maneno unayoandika wewe utakuwa mrefu kama hasheem thabit, kipande cha mtu
 
Back
Top Bottom