mbona riz moko ni andunje na nasika anawamega sana warembo.?inakuwaje hapa!!?
Naomba nikujibu kaka, wanaume warefu wana mvuto hilo halipingiki. Yaani hao ndiyo dream men kwetu siye wanawake.
Asilimia kubwa tunawatamani na tunavutiwa nao. Inapokuja suala la maisha na majukumu ndipo hata wafupi lakini wenye FEDHA na mapenzi ya kweli wanaweza kuwa SUBSTITUTE ya warefu!
So usishangae Riziwani kubeba watoto wazuri, au Chicago na wengine unaowajua......... pesa ndiyo mpango mzima
Kama hasheem thabeet?? Sasa ule mvuto au mvutano?
Yaani kumbe Ridhiwanai naye anawabeba enheee? Naomba niuulize, kwa urefu wangu wa 5'10 nahesabika kama mbilikimo kwenu kina mama au:frusty:.....naomba jibu sahihi kabla sijaanza kula dawa za kichina.
Hii haina ukweli! Mm ni mfupi kiasi lkn nimewala wadada warefu, wafupi, wanene, wembamba, warembo(top 5 miss tanzania)
Kama huamini nipe namba ya mkeo au demu wako uone!
mbona riz moko ni andunje na nasika anawamega sana warembo.?inakuwaje hapa!!?
umesema vema mkuu maana warefu ni wengi hata wauza vyombo wapo warefu but wallet tu ndo mpango
Wewe mtoa mada badili heading isomeke " wanaume wenye walet nene ndo ugonjwa wa wanawake wa kizazi hiki" FULL STOP
daddy inamaana ladyfurahia hajui kama daddy wetu umepanda hewani?
Wallet yake ndefu
hewaa....angekuwa mfukon hajielewi ingekula kwake
hewaa....angekuwa mfukon hajielewi ingekula kwake
nahisi kama unataka kumwingiza wife wangu kwenye ushabiki usiomstahili..
then! i mis u sana.