Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

Jamaa mmoja alikuwa amekaa pamoja na demu wake juu ya Mercedes Benz toleo jipya,ndipo jamaa alipoanza kusema.
Jamaa:samahani naomba unisamehe
Mwanamke:nikusamehe nini tena?
Jamaa:nimekudanganya
Mwanamke:umenidanganya nini tena?
Jamaa:Nilikwambia ya kuwa sina mke ila ukweli ni kwamba nina mke na watoto watatu.
Mwanamke:ah! usijali hilo jambo la kawaida tu nilidhani unasema hili gari sio lako.
 
Anhaaaa kumbe....basi ndo maana sijawahi kukataliwa...

Napata picha sasa...

Afu huwa najiuliza,mbona karibu wanawake wote ni wafupi? Ndo nimegendua sasa....kumbe sio wafupi,ila ,huwa ni wafupi

kwangu tu
 
teh..teh..mvuto unakaa kwenye urefu!! Mbona wanawake hamueleweki? mara mseme mnapendelea kifua, dushelele nk. kweli wanawake huvutiwa na vitu vya ajabu kweli!!!
urefu wa wallet na si apeaance okey!!!!!!!!!
 
wala usipate shida na dawa za kichina make mkwanja wa kutosha wallah tutakuita tolest

Lol.....kweli Bongo tambarare jamani. Hivi kuna sehemu ina raha hapa duniani zaidi ya bongo? Uzuri wa kwetu Bongo mwanamke hata ukiwa na sura kama ya nguruwe ila una mzinga wa nyuki basi juwa uko juu ya chati na watu watakupigia foleni. Ukiwa 5'10 kama mimi na uhakika wa kula vizuri utatafutwa ili utunzwe na mijimama. Haki ya nani sirudi tena majuu kwani kwa mtizamo wangu, hapa niko peponi :bathbaby:
 
hahahahahahahahahaaaa yaani nimecheka mpaka...
 
Utarudi wapi majuu wakati profile yako ndogo, lolest.
 
Utarudi wapi majuu wakati profile yako ndogo, lolest.

Kweli unaonekana wewe ni mtu wa namna gani kiakili, hivyo hata nikikuambia mimi ni nani bado tu utaona kiwewe. Nobody comes here kusema kila kitu kwenye profile yake au ulidhani uko hapa kutafuta kazi? Kuwa dogo, achana na mambo ya fesibuku.....think before you talk, unafikiri majuu kuna nini. I lived there and saw everything.
 
Back
Top Bottom