tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,316
Mimi mbona urefu wangu ni 184 cm na wanawake hawanitaki! Au Nina gundu? Lol
Me nakutaka,, Weka picha nitume maombi.
Mimi mbona urefu wangu ni 184 cm na wanawake hawanitaki! Au Nina gundu? Lol
I'm very handsome husninyo! Labda wadada wahajiamini!
Wakuu ktk pitapita zangu za kila siku nakutana na minong'ono kuwa wanaume warefu wana mvuto mkubwa kwa wanawake tofauti na wenzao wafupi. hii nimeisikia kwa baadhi ya wanaume wakikiri kuwa wanaume warefu wanakubalika kirahisi kwa wanawake, basi nikajaribu upande wa pili nisikie wenyewe wanachosema, wengi wamekiri kuwa wanaume warefu wana mvuto sana ila tatizo ni mila na desturi za kwetu haziruhusu mwanamke kumtongoza mwanaume, mwingine akaniambpga kuwa wanaume warefu wengi wao wana confidence na wanajikubali sana, wapo wengi tu wanaokubali kuwa wanaume warefu wanakuwa ni wend mvuto, sasa wanawake wa jf na nyie mnasemaje??
Urefu muhimu bhana.
Kuna kipindi fulani hivi nikakutana na best friend wa college mate
wangu. Baada ya kum-hug akasema "Dah, height hii ndio inafaa". Nikang'oa
kiulaini kabinti karefu kembamba, even though hatukudumu.
Kengine tuko chuo, kamevaa high heals + plus urefu wake lakini wapi
kidume bado hanifikii, nikasikia "watu kama nyie adimu "... kama kawaida
nikang'oa....
In short ukiwa mrefu, confident na Mungu kakujalia viakili na visent vya
kubadilisha sneakers na mashati ya draft... hakuna mwanamke
anayechomoa. Maandunje mlie tu
I'm very handsome husninyo! Labda wadada wahajiamini!
Wakuu ktk pitapita zangu
za kila siku nakutana na minong'ono kuwa wanaume warefu wana mvuto
mkubwa kwa wanawake tofauti na wenzao wafupi. hii nimeisikia kwa baadhi
ya wanaume wakikiri kuwa wanaume warefu wanakubalika kirahisi kwa
wanawake, basi nikajaribu upande wa pili nisikie wenyewe wanachosema,
wengi wamekiri kuwa wanaume warefu wana mvuto sana ila tatizo ni mila na
desturi za kwetu haziruhusu mwanamke kumtongoza mwanaume, mwingine
akaniambpga kuwa wanaume warefu wengi wao wana confidence na
wanajikubali sana, wapo wengi tu wanaokubali kuwa wanaume warefu
wanakuwa ni wend mvuto, sasa wanawake wa jf na nyie mnasemaje??
Nakupa homework ili ujuwe ukweli ulivyo. Katika pita pita zako hizo hizo hapa jijini uliwahi ulizia kwa nini wanawake wanampenda Diamond Platinumz ambaye yuko futi 5'3? Je, yeye ni mrefu ama? Kuwa mrefu bila akili au kitu uone kama utapata demu wa maana. Chicago matelephone is 5'1 or 5'2 na mademu wanamwinda kichizi, je naye ni mrefu? yaani list ni ndefu mno:A S 39:
nyie nyie ndo mi nawatakaga...,ila co wembamba.ah ah..uwe umepanda na kimwil kipo..apo lazima nigeuke
mi naona inategemea, waweza kuwa mrefu kutongoza hujui kuhonga ndo kabisaa halafu hauko smart kichwani kuvaa majanga plus uyahaya unafikiri nitakupenda???
but wapo wafupi wanajua kusaundisha balaa,head iko fit wako smart kiaina ila tatizo la wafupi vinawivu halafu ni ving'ang'anizi balaa lol!!!!!!!!
Mimi mbona urefu wangu ni 184 cm na wanawake hawanitaki! Au Nina gundu? Lol
Ushasema mwenyewe wafupi wanasaundisha mbaya ni pamoja na kuinvest......lazima watakuwa wana wivu, si wameinvest sana kwako????
Mwanaume yeyote anaeinvest moyo na resources kwa mwanamke lazima awe na wivu!! Haijalishi mrefu au mfupi!
Akina Mushi na Munisi nadhani ni warefu manake wachagga wengi ni warefu....
Vitu vitatu wanavyopenda wanawake:-
1. Pesa
2.Pesa
3.Pesa
Urefu au ufupi sio hoja, mm mwenyewe mrefu na sijawahiona mwanamke ananiambia your sexiest mpaka nitoe pesa.. Over!!!!!!!!!!