Yofav
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 4,343
- 7,967
Tukiachana na hizi trends za tall dark/white handsome na kila mwanamke kudai kuwa na ndoto ya kudate na mwanaume mrefu.
Even though kuna wanaume ambao unakuta tunawaweka kwenye kundi la wafupi lakini utakuta bado wanawazidi wanawake wengi kwa urefu lakini chaajabu wanawake hao bado huwaita wafupi na kuwakejeli.
Na je ili ukubali mtu ni mrefu ni kwamba hadi awazidi wanaume wengine au akikuzidi wewe tu tayari ni mrefu?
Mwisho ningependa kujua kama kuna vipimo vya makadirio ili mwanaume ajue kuwa yupo kundi la wafupi au warefu je kipimo kinapaswa kuwa ngapi?