Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

sidhani kama kweli, ila ninachoamini ni kwamba, watu wafupi ni hardworking zaidi ya warefu, na ndio wengi huwa na mafanikio kuliko warefu. wasomi wengi wale waliofika mbali ni watu wafupi, nilikuwa namtania rafiki yangu mmoja, tumetembelea hospitali moja, kila doctor ninayemwangalia naona mfupi hadi unakuwa hauamini kama ana uwezo kukutibu, lakini ndio hivyo tena, ni doctor. wafanya biashara wa level ya kati walio wengi wale waliofanikiwa sana ni wale wafupi kwasababu huwa wanafanya bidii sana ku compensate ufupi wao na mafanikio ili watu hata kama wamewadharau kwasababu ya ufupi basi wawaheshimu kwa mafanikio/pesa. kitu cha kuwashauri watu wafupi ni kwamba, punguzeni hasira na kujionyesha kuwa mnavyo, na pia punguzeni chuki dhidi ya warefu.
Study finds genetic link between height and IQ

Explicit cookie consent

Short people may be short on brains, study says
 
734a59a8f174f720ac0c7a7c88fd6cf5.jpg

Wanavutiwa na huyu mnyama#uchawi wa kizungu
 
Mmmh! I doubt!

Wanaume warefu kama Mazombie
wengi wana mboo fupiii kha!

Wanaume wafupi ni watamu, wana mboo reeefuuu! Wataaaamuu! Basi naomba niishie hapa wasije TCRA wakanikamata
 
Kuna siku nilikuwa nimekaa na washkaji zangu wawil mida ya jion (wote wafupi) akaja bint ambaye wao walikuwa wanamfaham,ila mim sikuwa namfaham, basi akawasalimia kwa kuwapa mkono ila alipofka kwangu nikapewa bonge la hug, wote tuliduwa, wakaanza kmnanga yule demu, akajitetea kimtindo but th fact is bcoz am tall n she became attracted
aahaha aahahaha what if kama huyo demu angekuwa small kama hao washkaji zako in fact washkaji zako wangepata hug na mkabaki mnajiuliza
 
mkuu, hivi unajua watu wenye akili kuliko wote duniani wanatoka wapi? list yao ni hii hapa.

1. watu wa nchi za asia (china, japan, india etc).

2. wazungu

3. waafrica (hasa nigeria)

4. waarabu.​

ukiangalia watu wengi toka asia ni wafupi sana sana kulinganisha na waafrica, unaweza kusema mtu mfupi ndiye mwenye akili zaidi au mtuu mrefu ndiye mwenye akili zaidi?
 
mkuu, hivi unajua watu wenye akili kuliko wote duniani wanatoka wapi? list yao ni hii hapa.

1. watu wa nchi za asia (china, japan, india etc).

2. wazungu

3. waafrica (hasa nigeria)

4. waarabu.​

ukiangalia watu wengi toka asia ni wafupi sana sana kulinganisha na waafrica, unaweza kusema mtu mfupi ndiye mwenye akili zaidi au mtuu mrefu ndiye mwenye akili zaidi?
Albert Einstein ametokea wapi? Sir Isack Newton je? hapo issue ni height and intelligence sio kuhusu wapi watu wanatokea.
Height and intelligence - Wikipedia
 
Back
Top Bottom