Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

urefu ama ufupi unahusika vipi wajameni kwenye mapenzi? hizo mara mwanaume mrefu for show off and what is the outcome of that show off?!
 
Huli chakula, hulali, na hufanyi cha maana kazi kukaa na kumfikiria yule mtu anayekukwaza rohoni, ukimuona tu basi na nafsi yako inapona. Ila baada ya muda unamchoka na kuanza kujirusha na mwingine ama wengine ili upate tu kufurahisha nafsi yako. Hivyo kwa kifupi, kupenda ni kitu cha muda then baada ya kupata kile ukitakacho ndipo unatafuta njia mbadala kama ilivyo kwa watu wengi hapa Bongo kumiliki nyumba ndogo hata kama mtu hana uwezo.


Haya ni maradhi ndugu yangu

Sio upendo!!!!!!
 
:target::target::target::target::target::doh::A S-cry::A S-cry::A S-cry::bolt:
 
Karibu Mkuu, kwenye hii mambo usiombe ukutwe na ''Bwana OSORO, Luiza na KARAMAGI'' UD. waathirika wao wapo wengi sana.

''Mutatis Mutandis'' ni kinyume cha ''ceteris peribus''
Hapo kwenye red, umenikumbusha mbali ...."ALL OTHER FCTORS REMAIN CONSTANT"
 
Wakuu ktk pitapita zangu za kila siku nakutana na minong'ono kuwa wanaume warefu wana mvuto mkubwa kwa wanawake tofauti na wenzao wafupi.

Hii nimeisikia kwa baadhi ya wanaume wakikiri kuwa wanaume warefu wanakubalika kirahisi kwa wanawake, basi nikajaribu upande wa pili nisikie wenyewe wanachosema, wengi wamekiri kuwa wanaume warefu wana mvuto sana ila tatizo ni mila na desturi za kwetu haziruhusu mwanamke kumtongoza mwanaume.

Mwingine akaniambpga kuwa wanaume warefu wengi wao wana confidence na wanajikubali sana, wapo wengi tu wanaokubali kuwa wanaume warefu wanakuwa ni wend mvuto, sasa wanawake wa jf na nyie mnasemaje?
 
Teh teh ha ha ha.


wale wafupi watajinyonga wenyewe Mimi sipo.
 
Ngoja niende China wiki ijayo nafikiri hii kitu ya kurefusha mtu haitakosekana kule. Wafupi isije ikala kwetu.
 
ebwana eeh kumbe hata mimi naweza kua sukari ya warembo eeeh? basi sawaa!
 
Back
Top Bottom