Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

Zakayo,pompee,george washington ,napoleon, hitler, da vinc, einstein ,mkapa mwinyii,
 
mie mwenyewe mfupi, alafu mwanaume mfupi tena duh!!! wng namfikia kwenye mkanda wa suruali
 
Urefu muhimu bhana. Kuna kipindi fulani hivi nikakutana na best friend wa college mate wangu. Baada ya kum-hug akasema "Dah, height hii ndio inafaa". Nikang'oa kiulaini kabinti karefu kembamba, even though hatukudumu.

Kengine tuko chuo, kamevaa high heals + plus urefu wake lakini wapi kidume bado hanifikii, nikasikia "watu kama nyie adimu "... kama kawaida nikang'oa....

In short ukiwa mrefu, confident na Mungu kakujalia viakili na visent vya kubadilisha sneakers na mashati ya draft... hakuna mwanamke anayechomoa. Maandunje mlie tu
 
Kosa ulilofanya wewe ni kupata demu aliyekuzidi urefu.
huyo lazma kuna warefu wenzie wanakumegea..
sema utakuwa mbishi tu kwa sababu ni hulka yenu..
mwache mwenzio bwana mbon hivyo kapendwa et licha ya ufup
 
Wakuu ktk pitapita zangu za kila siku nakutana na minong'ono kuwa wanaume warefu wana mvuto mkubwa kwa wanawake tofauti na wenzao wafupi. hii nimeisikia kwa baadhi ya wanaume wakikiri kuwa wanaume warefu wanakubalika kirahisi kwa wanawake, basi nikajaribu upande wa pili nisikie wenyewe wanachosema, wengi wamekiri kuwa wanaume warefu wana mvuto sana ila tatizo ni mila na desturi za kwetu haziruhusu mwanamke kumtongoza mwanaume, mwingine akaniambpga kuwa wanaume warefu wengi wao wana confidence na wanajikubali sana, wapo wengi tu wanaokubali kuwa wanaume warefu wanakuwa ni wend mvuto, sasa wanawake wa jf na nyie mnasemaje??

kuna ufupi wa kawaida ila kuna wale vindururu(
acha mbilikimo ) jaman ni wababe yani ndani ya nyumba atajihami yeye utadhani kipa golini.kidogo tu kishatunisha visigino uwiii!
 
kosa ulilofanya wewe ni kupata demu aliyekuzidi urefu.
Huyo lazma kuna warefu wenzie wanakumegea..
Sema utakuwa mbishi tu kwa sababu ni hulka yenu..

weee...hapa hata chawote wako hachomoki tehe...tehe...

Npe mawawasiliano yake uone ruhusa za mara kwa shangaz,kwa ma' mdogo kama umeoa na kama hujaoa uone jinsi promise zenu zinavyobaunce.
 
kaka, kuna urefu wa aina mbaliambali... mwili, akili, wallet, nafasi kwenye jamii etc.

ya mwili is sexiest, but the problem ukiwa hauna pesa, inakua short lasting


You just nailed it....

Watu wengi wanafikiria kuwa equations za maisha ni univariate wakati in reality ni multivariate...lol!!

Kama dunia ingekuwa simple kiasi hicho basi kuna vizazi vingekuwa extinct kitambo...

Babu DC!!
 
Mimi mbona urefu wangu ni 184 cm na wanawake hawanitaki! Au Nina gundu? Lol
 
Mimi mbona urefu wangu ni 184 cm na wanawake hawanitaki! Au Nina gundu? Lol
Chukua beseni kioo nenda njia panda saa nane usiku uchi wa mnyama na ni vema ukifanyia zoezi mbeya au ilinga ukimaliza nenda tarime uone kama huo mkosi hautaisha warefu hatuko hivyo
 
I just don't understand why you're after my name! After all that's not my real name and you know that unless you're idiot.
 
Tatizo sipo bongo major mwendwa! Kwahiyo siwezi kwenda hiyo mikoa uliotaja na siamini kwenye mambo ya witchcraft.
 
85% ya wanawake wa Dar wanachotaka wao ni pesa tu...
Hata uwe Mfupi kama chetezo, kama unamijihela basi utawapanga tu.
 
mme wangu mrefu,184cm,na wanangu wawili wa kiume wanafuata urefu wa baba yao,haya wenye watoto wa kike karibuni mpiganie kuwa wakwe zangu
watampigania na mumeo shauri yako
 
Back
Top Bottom