Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Sema tu wana mijinondo ya uhakika wewe mtoto usizuge ila sipati picha utakavyogeuzageuza hayo macho wakati limetinga na linatishia kutokea utosini..........
hhhahaaaa we mfupi nini!!!!!!
Sema tu wana mijinondo ya uhakika wewe mtoto usizuge ila sipati picha utakavyogeuzageuza hayo macho wakati limetinga na linatishia kutokea utosini..........
Its not the only thing am looking into a man.........
enhe kama nanilihi..... alivyo Tall halafu black......his eyes daah
Dah .... kaka mbona umekuwa mkali?ME NI MFUP TENA MFUPI HASA ILA NAJIAMINI ZAID YA UNAVYOWEZA KUDHANI AF MAISHA NI ZAID YA NGONO ATI,NINA MPENZ AMBAYE KUNA WAKAT HATA ME MWENYEWE NAJISIFU KUWA MACHO YANGU YANAONA VYEMA TENA NI MREF ZAID YANGU ILA MAISHA YANAENDA.FUATILIA MAPENZI YA WALIOKUTANA KWA BAHATI MBAYA KWA KUANGALIA VIGEZO VYA MAUMBILE PASIPO MAPENZ YA DHATI UONE DHAHMA ZINAZOWAKUTA,SI WALITAKA SHOW LOVE?
#my take.........MAPENZI YA KWELI HAYAKOSOI KAZ YA MUUMBA NA NDIYO MAANA WENGINE WANA WAPENZI WALEMAVU.
dah .... Kaka mbona umekuwa mkali?
hhhahaaaa we mfupi nini!!!!!!
tumechakachua maana ya mapenzi ndio maana tunahangaika kama kuku mapenzi ya kweli hayana pesa urefu ufipi
hii haina ukweli! Mm ni mfupi kiasi lkn nimewala wadada warefu, wafupi, wanene, wembamba, warembo(top 5 miss tanzania)
kama huamini nipe namba ya mkeo au demu wako uone!
nani kakuambia?. Wanaume wengi wafupi wapo ndani ya ndoa kuliko warefu.
Goes without saying. Halafu awe mweusi ila si mpingo,Chocolate flani, halafu asiwe kimbao mbao. Aiseeee.
mmh!!!....hivi kuna dawa ya kuwa hivyo nami ninywe
Wewe mtoto unazikacha pm zangu mi nataka nikuumize....