Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

Utafi utafiti blah blah!
Mrefu atavutia kwake na mfupi atatafuta kujiosha, lkn ukweli ni kwamba suala la kupenda ni la mtu binafsi
 
Under ceteris peribus you might be right, again under mutatis mutandis you might be right. The contrary might also be right as well.

Ukweli unategemea unazungumzia nini au kipi kwenye bahari ya 'Love'.

Jibu langu ni BIG NO! Nimetembea sehemu kubwa ya bara la Africa nimelitambua hilo. Chakufurahisha, wanaume wengi wafupi wake zao warefu au wapenzi wao warefu pia. Kuna maelfu ya wanaume wafupi wanawake zao warefu. Imani kwamba wanawake wanawachukia wanaume wafupi ni uongo uliopitiliza wa watu kujaribu kuweka matabaka.

WANAWAKE WANAPENDA

MONEY

FAME

POWER

"BULLETS" Thank you!
 
mwanaume mrefu kwa ajili ya show off 2. yaan wa kutoka nae. ila muhudumiaji a.k.a kidumu hata awe zombii mfuko wake 2
 
Wengi wa wanawake mashotii utawasikia mimi napenda mwaume mrefu. Mbaya zaidi mioyo yao ipo jirani na sehemu ya kuifadhia kinyesi. Hapo ukishamuoa tu, ndoa kuwa salama asilia 30 tu. Watu wa fupi bhana, kazi kweli kweli
 
A guy that don't need a ladder to reach things for the some ladies is always a plus!

ni sehem gani hizo ulizotembelea
 
Cha kwanza wanawake wanapenda mwanaume mwenye uchumi mzuri. Lakini linalokaribiana sana na hilo ni HAIBA na kwa wanachopenda wanawake kwenye haiba ya mwanaume ni urefu!. Kutoka uzoefu wangu Mimi ninayeandika hapa ni mrefu na kwa kusema kweli mke wangu wana muonea gere kwelikweli nami pia najitahidi kujizuia na temptations!
 
wewe utakuwa mfupi bila shaka....99% sure of it

Umeonaeee! Vifupi utavijua tu!
Wenyewe wametudondoshea uzi huku wakijipa matumaini! Tena wanazuga eti hela ndio mpango! Sikatai but- Mfupi + hela = buzi, while Mrefu + hela = lihensamu!
Warefu oyeee?
 
Back
Top Bottom