Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

duuh wafupi imekula kwetu eeh

Ngoja niende China wiki ijayo nafikiri hii kitu ya kurefusha mtu haitakosekana kule. Wafupi isije ikala kwetu.

Hamna ipo hv wanawake wanapenda ulinzi wa wenzi wao hivyo huona kama wanaume warefu wote ni wababe kumbe wapi cc wafupi walet ndefu mguu wa kuku kiunoni chezea ww; mm ni urefu wa 1.2m tu!!

Hii haina ukweli! Mm ni mfupi kiasi lkn nimewala wadada warefu, wafupi, wanene, wembamba, warembo(top 5 miss tanzania)
Kama huamini nipe namba ya mkeo au demu wako uone!

yaani mkuu.....

2215569_orig.jpg
 
nani kakuambia?. wanaume wengi wafupi wapo ndani ya ndoa kuliko warefu.
 
Kwa utafiti huo ndugu zangu Wamaasai wangekuwa ndio habari ya mjini...lakini mmh mambo ni 'vaisi vesa'.

Halafu wale watani wangu wa Kihurio, Gonja hali ingekuwa mbaya sana...wazee wa thithi ndio baba thao na mama thao, ufupi wa stuli.
 
Goes without saying. Halafu awe mweusi ila si mpingo,Chocolate flani, halafu asiwe kimbao mbao. Aiseeee.
 
du sina thamani, kibamia changu mnakisema, aya leo ufupi wangu nakosa totoz, mnapenda warefu, wallet sina. imekula kwangu wacha nirudi bush nikawapate wa huko, mjini pagumu la sivyo mpenzi wangu atakuwa ayu au komoa.
 
wanaume wafupi wabishi sana na hawajiamini, wanahisi kwa sababu ya ufupi watu wanawadharau....mi napenda mwanaume mrefu hata akiwa mbaya mradi mrefu ila co urefu wa ngongoti...
 
Back
Top Bottom