Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,941
- 110,416
kama hasheem. lol
Heheh...haya basi endelea kusubiri tu shem maana hadi sasa hapa bongo hakuna mrefu kama hasheem labda uangaze huko Sudan au Senegal ndio kuna type kama zake
kama hasheem. lol
Heheh...haya basi endelea kusubiri tu shem maana hadi sasa hapa bongo hakuna mrefu kama hasheem labda uangaze huko Sudan au Senegal ndio kuna type kama zake
Hahaha ujumbe umefika shemeg...
Inategemea ntu na ntu...................ingawa navyosikia wale warefu na wasio na ------,wanakuwa na dudeeeee lakutosha.
Navyosikia nimesema......................teh teh
afadhali, ila mwisho wa siku ukifall in love unasahau vigezo vyote vya urefu na ufupi. mapenzi bana!!!
mmmh mi thijui shem kweli mi thijui....
we bado mtoto shem, ukikua utajua...
Kuna utafiti pia unaonyesha asilimia kubwa ya wanaume warefu wachovu kitandani.
Shemeg yaani hivi hivi nilivyo napendwaje...nkitaka kunanilihuuu basi huwa napanda kwa kistuli wenyewe tunakiita "kistuli mahaba"
Tatizo siyo ufupi ila kujikunja, ndiyo maana wanasema wavivu, ila ukipata wa size ya kati ambaye si mrefu wala mfupi anakuwa perfect sana katika safu ya ushambuliaji na ukabaji even kufunga bao wanakuwa na ufundi mkubwa sana.
Hahahahaaaaaaaaa!!! hapo nilipobold je katika ku do, ukapewa ile stail ya kuchuma ----!!! halafu ukawa unaletewa moto, ihali wewe umesimama, si unaweza ukabiruka na stuli yako, ikawa dhahama hapo. mambo yakabadilika ikawa kilio cha kuvunjika mgongo, Loh!!!
Mbona umeshangaa sana, nisemayo ni kweli wanaume warefu hawawezi kujikunja kunako majambozi, ila wa size ya kati na wafupi wako perfect sana, hadi unasikia raha na ladha ya tendo lenyewe, maana huwa hawatulii sehemu moja na wanaweza kufanya matendo matatu kwa wakati mmoja.(yaani anashambulia, anakiss na -----).Loh!! Tangu niwe mwanachama wa hili jukwaa, nimegundua hii kozi ya mahusiano aina mwisho. kila kukicha nakutana na mapya. ki ukweli kabisa mwanachama wa jukwaa hili anapata faida kubwa sana katika maisha yake.