Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,911
- 110,317
tunawapenda ndio, tall halafu black. teh teh teh!
kumbe sisi wafupi ni fungu la kukosa...dah!
tunawapenda ndio, tall halafu black. teh teh teh!
Cha kwanza wanawake wanapenda mwanaume mwenye uchumi mzuri. Lakini linalokaribiana sana na hilo ni HAIBA na kwa wanachopenda wanawake kwenye haiba ya mwanaume ni urefu!. Kutoka uzoefu wangu Mimi ninayeandika hapa ni mrefu na kwa kusema kweli mke wangu wana muonea gere kwelikweli nami pia najitahidi kujizuia na temptations!
==>> Wanaume wafupi
1: HAWANA MVUTO... hiki ni kitu muhimu sana kwa mapenzi...APPEARANCE IS ALL...
2: WANA WIVUUU
3: WANA MANENO MENGIII KAMA WANAWAKE WA SALOON
4: HAWAJIAMINI KABISA...HASA KTK MASWALA YA MAPENZI kwani anajua udhaifu wa umbo lake...hivyo hulinda udhaifu wake kwa kwa maneno mengi ya kujisifiaaa...kumlinda kwa wivuu mkeo...na kujifanya anaweza kila kitu...anavaaa kiatu soli nchi 5 kuongeza urefuuu...
5: HUPENDA KUJISIFIAAA KILA MARA ILI KULINDA UDHAIFU WAKE wa ufupi....
===>> MWANAUME MREFU ndio mpango mzima....
WE TALL MEN huwa hatuongee....TUNAUZIKA TU NATURALLY.....ALAFU POCHI UWE NAYO...THEN UWE KAMA WAIRAQ wa Arusha hivi...kama Ethiopian vile...WANAWAKE UTAWAKIMBIA....wengi hata wana kutaka bure tu kuwapa kampani...wengine unakula bureeee....but WATCH OUT....PIGA MAENDELEO...mapenzi yafuate..not vice versa...
tunawapenda ndio, tall halafu black. teh teh teh!
Mrefu huna hela.......upelekwe wapi.......
tunawapenda ndio, tall halafu black. teh teh teh!
kumbe sisi wafupi ni fungu la kukosa...dah!
Under ceteris peribus you might be right, again under mutatis mutandis you might be right. The contrary might also be right as well.
Ukweli unategemea unazungumzia nini au kipi kwenye bahari ya 'Love'.
kumbe sisi wafupi ni fungu la kukosa...dah!
hahahaha, nyie wafupi mlie tu. ila sist wangu si anakupenda hivyo hivyo ulivyo shemeg?
Shemeg yaani hivi hivi nilivyo napendwaje...nkitaka kunanilihuuu basi huwa napanda kwa kistuli wenyewe tunakiita "kistuli mahaba"
ila mie mwanaume mrefu halafu mweusi ananikoshaje jamani (other factors remain constant). lol
Lakini shem huo urefu mnaouzungumzia ni urefu upi atiii? sentimeta ngapi? au yoyote tu yule aliokuzidi urefu