Money Power Respect-The LOX.
Umeonaeee! Vifupi utavijua tu!
Wenyewe wametudondoshea uzi huku wakijipa matumaini! Tena wanazuga eti hela ndio mpango! Sikatai but- Mfupi + hela = buzi, while Mrefu + hela = lihensamu!
Warefu oyeee?
tunawapenda ndio, tall halafu black. teh teh teh!
Masikini,wahurumieni wenzenu, teh teh
Mrefu huna hela.......upelekwe wapi.......
Kuna utafiti pia unaonyesha asilimia kubwa ya wanaume warefu wachovu kitandani.
Si hapendwe tu kwa kuwa yeye ni mrefu. Jamani kuweni na huruma na wanaume warefu wasio na issue, watunzwe na nani?
Hivi kupenda maana yake nini?
Wanaume wafupi wakidate na wanawake warefu,, wanajisikiajeeee!!!!!!!!
Cha kwanza wanawake wanapenda mwanaume mwenye uchumi mzuri. Lakini linalokaribiana sana na hilo ni HAIBA na kwa wanachopenda wanawake kwenye haiba ya mwanaume ni urefu!. Kutoka uzoefu wangu Mimi ninayeandika hapa ni mrefu na kwa kusema kweli mke wangu wana muonea gere kwelikweli nami pia najitahidi kujizuia na temptations!