Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,428
- 11,837
Mimi mwenyewe zamani nilikuwa naenenda hivyo lakini nikapata Neema nikajifunza na kufahamu kuwa kudeka deka kipindi cha ujauzito na wakati wa kujifungua siyo sahihi kabisa, ni mapokeo tuliyoyasikia toka Kwa watu mbalimbali

