Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

Pole mama
 
jamani poleni sana ndio mjue ile dhambi ya kula tunda ndio malipo yake......ila nanyi jamjui tu maumivu ya kugongwa korodani yan ni uchungu X 50 kwa hakika...
 
Kupitia huu Uzi nimewafahamu wamama wa JF ambao kwenye nyuzi nyingine wanajifanya mabinti wabichi kabisa!

Otherwise, namheshimu mama yangu kama mzazi wangu. Lakini sio eti kwa sababu ya huo uchungu wa leba!

Women are damn good in ex a grating pain and pleasure!

Huyu dadaangu anaelia akikwaruzwa na msumari kidogo tu, siku akipitia uchungu wa leba unafikiri atasema nini?

Tunazo sababu nyingi sana za kuwaheshimu, ila huu uchungu wa labour sidhani kama uko hivyo mnavyouelezea!

NB: nimetahiriwa kwa kisu bila ganzi. Naelewa nini maana ya uchungu!
 
Siku hizi youtube wanaonyesha watu wanavyozaa live. Hadi kichwa kinavyotoka na kila kitu. So hakuna siri tena.
nyie bado hamjaenda?
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125]
 
Aki ya Nani kipindi hiki si rafiki sana kwa wanawake
Yaani jamn wana viloja kweli unaweza chaka ni kama anajifanyisha tu

Mmoja alinitukana matusi yote kisa nimemuwekea maji ya uchungu

Alicheza kila ngoma kila style nguo iko begani

Nikamwacha alipojifungua kawa mpole nkamwambie nitukane basi tena yuko anacheka tu


Kumbe nilikuwa naota

Hahahahaha
 
Nchi baadhi mfano Japan wanaruhusu wanaume kushuhudia mke akijifungua , wanasema inapunguza women abuse
kuna waziri mmoja (simkumbuki) alitaka kuipeleka hii hoja bungeni iwe sheria nadhani...
sijui ikawaje.
 
Niliwahi msikia mwalimu mwakasege anasema muda wa kujifungua huwa kuna vita kubwa sana kiroho huu ndo muda shetani uchukua vyake muda huo ni vyema kwa wanaume tuombe sana wakati wake zetu wakijifungua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…