AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,114
Shem tuna nini mimi na wewe?
Ki msingi nimekununia!! Nina hasira na wewe hadi... :faint2:
Shem tuna nini mimi na wewe?
Hapo nakupinga kiukweli kuhusu suala la wanaume kurudi jandoni, binafsi nasema ngono ni sanaa ambayo haiitaji uwe na kipaji cha kuzaliwa bali ni jambo ambalo linahitaji utayari wa akili yako binasfi, kinachosababisha wanaume wengi waonekane ni dhaifu sio namna ya ufanyaji( kukata kiuno) bali ni upungufu wa nguvu za kiume kana kwamba wengi wao wanashindwa kurudia raundi ya pili au wanatatizo la kukojoa mapema sana. Unaweza kwenda raundi hata 3 lakini kila raundi ukawa unakojoa mapema. Hivyo nawashauri wanaume wenzangu kula vyakula ambavyo vinasidia kuongeza nguvu za kiume pia kujifunza jinsi ya kujizuia kukojoa mapema ili tuweze kuwafikisha kileleni hawa dada zetunashangaa sana kuona watu mnapata shidaaa na manyuzi ya aina hii one simple answer ni kwamba
Mleta mada hajawah kukutana na wanaume marijali bali hukutana nusu rijali, sasa mnategema nini??
BTW mleta mada angalileta kwa logic kwamba wanaume warudi jandoni wakafunzwe upya juu ya ulingo ningekuwa na la kusapoti manake kuna kaukweli hasa kwa vijana wanaokua sasa hivi.
Sijui kama utanashati na game vinahusiana.....all in all jitahidini jamani kupiga phumbu
Hata kama nimekununia wacha tu nijibu hili swali la msingi sana. Hebu soma kati kati ya mistari hapo chini.. Lol
mkuu hiyo kitu ndio nini hiyo mkuuSijui kama utanashati na game vinahusiana.....all in all jitahidini jamani kupiga phumbu
Sijui kama utanashati na game vinahusiana.....all in all jitahidini jamani kupiga phumbu
At least wewe umeadmit kwamba tatizo lipo, sawa mie sikupingi hata kidogo. Lakin ninachopingana na wewe wala kumridhisha mwanamke hakuhitaj nguvu kubwa kiasi hicho (nguvu za kiume).Hapo nakupinga kiukweli kuhusu suala la wanaume kurudi jandoni, binafsi nasema ngono ni sanaa ambayo haiitaji uwe na kipaji cha kuzaliwa bali ni jambo ambalo linahitaji utayari wa akili yako binasfi, kinachosababisha wanaume wengi waonekane ni dhaifu sio namna ya ufanyaji( kukata kiuno) bali ni upungufu wa nguvu za kiume kana kwamba wengi wao wanashindwa kurudia raundi ya pili au wanatatizo la kukojoa mapema sana. Unaweza kwenda raundi hata 3 lakini kila raundi ukawa unakojoa mapema. Hivyo nawashauri wanaume wenzangu kula vyakula ambavyo vinasidia kuongeza nguvu za kiume pia kujifunza jinsi ya kujizuia kukojoa mapema ili tuweze kuwafikisha kileleni hawa dada zetu
mimi sihofiii hata kidogo, ila matokeo yake sasa, utanisaidia kusoma PM Mpenzi?
Kwa niaba ya wabeba zege wenzangu...tunakutakia penzi jema na mbeba zege mwenzetu..Mie siku hizi natoka na mshkaji mmoja yeye ni fundi mwashi, tu yaani mchana ukimkuta ananinginia kubeba zege unaweza ukalia lakini aoge muingie uwanjani utampenda!
Nimeshauambia moyo wangu STOP SHOW RUM MEN!
Nimeshiba.
Ole wako uninunie tena. Ntaenda kukusemelea kwa kaka. Nadhani ushajua utakachokikosa.
mimi sihofiii hata kidogo, ila matokeo yake sasa, utanisaidia kusoma PM Mpenzi?
Kwani unafikiria Phumbu ya kisawasawa hajai kupigwa? tatizo anagawa sana ndio maana katika kugawa kwake amekuja na hiyo tathmini yake. Sasa angejuaje kama mtanashati hapigi vizuri na ambaye sio mtanashati anapiga..........vipi wewe unataka mtanashati....
Yaani ukweli ambao mie nimeuona nice looking men wana perfomance mbovu sana, tena hawa wa mjini ambao masaa yote anaonekana msafi, mzuri anavutia ni majanga. WENGI hudhan umaridadi na uzuri wao basi unatosha kumbe sio.
Mwanaume ambaye ni wa kawaida tu unaweza mdharau na kusema huyu yuko hivi lakini ukweli kwenye mechi performance iko njema zaid zaid ya hawa wa shoe rum tunaokutana nao huku maofisini.Kwanza wengi hawa wa show rum ni watoto wa mama, hawajui hata uanaume wao uko wapi. Mijianaume inadeka tu kama watoto wa kike yaani hawaeleweki.