Wanaume watanashati wengi wabovu kitandani.

Wanaume watanashati wengi wabovu kitandani.

AshaDii bora utuwekee tuone utanashati anaozungumzia mtoa mada hapa na aina ya watu anaowataka

Rocky suala la kufurika na kuanza kusoma PM, Sitaki kujipa pressure. Wacha ibaki tu private hivyo hivyo. Lol

AshaDii,

Naomba nikusalimie mamito,

Habari za masiku tele?,

Najua Mungu anakulinda.........Amen

Mungu ni mwema sana bacha.

Za siku nzuuuri kabisa maisha yanaenda. Nimefurahi kukuna, na natumani na wewe huko pamoja na wapendwa wako life is good. Vipi unaendeleaje?
 
Last edited by a moderator:
Kwi kwii kwiii, kutokana na siri ninazopewa na msiri wangu Kaizer wala hauhitaji kuweka picha yake hapa AshaDii. Waniulize tu waone jinsi ulivyompasisha "with flying colours"!

CC: Mr Rocky (Umeona eeh?) Lol

Ahahaha wifi hilo swali as long as halina details sio taboo bwana. Afu nilikumiss kwelo lunch time.
Mie labda kwa sababu sio mtanashati ndo maana navutika kwa crowd tanashati. Sina hakika ila na wewe nakupendea utanashati wako pia.
Muaaah!
Mwali njoo ujibu swali la aunt yako hapa lol

My dear umesahau huwa wanatuita mapacha? Why? Sababu tunafanana utanashati.. Lol (a lito bit of bragging) Mwali kakamatika huyu, hata ujanja. Hahahahaa!
 
Last edited by a moderator:
Mie sijui jamani kama yana ukweli kwa vile mimi mwanaume na zaidi ya hayo ni mchafumchafu.
 
Weee uliye tuu ucheke una mbavu????

Hope you are all good!!
Najua wengi mtakuja na matusi na kashfa kibao lakini message sent and delivered.

Men you should train yourself bhana mnaboa sana yaani unakuta mtu mtanashati, ana kila kitu kizuri lkn kitandani hovyo kabisa...,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

SITAKI MATUSI IKIKUBOA IPOTEZEE

Ushawapata Wangapi? mia au?
 
anyway nipo bize mwaka unaisha, lakini namshukuru Mungu sijawahi kusemwa vibaya eneo hili nikiwa dume lililosimama! Ukweli me siyo mtanashati lakini napenda classic things, hata niliyenaye pia ni classic, so Glory to God Sijambo!
 
Hamna kitu,wamawake wa siku hizi ndiyo wanasababisha shekelpin kulala.
Unaingia kunako six by6 hapo hm kitu kiko hewani unamgusa mara anakoroma ukitia mkono upapase anashtuka unasikia kisauti kwa mbali " bwana niache nimechoka kesho kazini" pin chin kudadadeki inabidi kesho yake ukamtafute binti kidawa akukate stimu ukirudi hm waala huna shughuli na mtu.

Asilimia kubwa wanawake ndiyo wanasababisha, mwanamke anataka kupigwa mpini siku akitaka yeye siyo siku mwanaume akitaka, sasa ukitwist akili ya mwanaume ktk hayo mambo mpaka aje akae sawa inachukua muda.
 
Hapa kauli zinakinzana ni hv mwanaume mtanashati ni yule anayejitambua na mwenye muonekano mzuri mbele ya macho ya watu wengine..! Kwa suala wanaume watanashati huwa ni wabovu kitandani siyo kweli..! Me hapa ni mtanashati lakini,girlz wanakoma na mziki wangu,usijaribu kubonyeza hii namba haifai aisee
 
Watu wengine bhana.
ni majanga sasa ulitaka mtu mume awe kwa namna gani huko ku kitanda kama mmeshamslizana??
 
Kuanzia leo naanza kuwa mchafumchafu,

Ishu hapa sio kuwa mchafu manake sasa utakera ila basi usiwe poyoyo la SHOW RUM.
UNAKUTA JIANAUME ZIMAA LINAKAZI YA KUBADILI GIA TU ETI NI POZI KUMBE GEMU HALIJUI

psyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!
 
Hapa kauli zinakinzana ni hv mwanaume mtanashati ni yule anayejitambua na mwenye muonekano mzuri mbele ya macho ya watu wengine..! Kwa suala wanaume watanashati huwa ni wabovu kitandani siyo kweli..! Me hapa ni mtanashati lakini,girlz wanakoma na mziki wangu,usijaribu kubonyeza hii namba haifai aisee
Kiongozi hao ladies na wenyewe inawezekana wana FAKE kila kitu FEKELOO
AMA inawezekana wanakoma kwamba badala ya RAHA unawapa KARAHA.

WANAWAKE WANATAKA KUPIGWA MPERA WAFIKE ORGASM YA KWELI SIO.....................
 
Most of pple here said kwamba nimesema uongo or rather wameangushia mzigo kwa galz,,,,,,,,,,,,,but truth is WANAUME WA SHOW RUM NI MAJANGA HAWAJUI KAZI YA KIUME......

DUDE.........mnaboa sana sana, halafu sasa once told the realty mnakuja juu kama moto wa kifuu,,,,,,,,,,,,,,sit down and think!

YAANI NITASUBIRI SANA HADI NIJE KUMPATA AMBAYE ANAWEZA KUNIFANYA NIKAIPATA ILE RAHA YENYEWE.
 
Kwan nan mwenye jukumu kitandan...........au wewe ni sugar mamy unanunua vijana il wakuridhishe sio mridhishane....mi nikigundua tu demu mchovu hua nakatisha mkataba manake wengine yaan kama gogo yaan ata kutingishika ni taabu duh..................................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom