Wanaume watanashati wengi wabovu kitandani.

Wanaume watanashati wengi wabovu kitandani.

waliokuwa na fikra kama zako na wakataka kuupimia huu mziki maji waliita mma na wakawatukana sana mabwana zao wakati wa match......

Ahahahahahahha!!!!!!!!
Mbona hizi ni mbwe mbwe tuu kazi iko dimbani!!!
 
kwa hiyo wasiokuwa watanashati wako poa kitandani au sijakusoma vizuri?
 
Ahahahahahahha!!!!!!!!
Mbona hizi ni mbwe mbwe tuu kazi iko dimbani!!!

pamoja na kuuza sura watu kiuno msingi mjini hapa!.....shauri zako!kitu mguu wa mtoto halafu pumzi za wakimbia marathoni wa ethiopia!muwa wa maana
 
kwa hiyo wasiokuwa watanashati wako poa kitandani au sijakusoma vizuri?

watu si wamekariri..hao wanaojifanya masela ambao wachafu kibao story zao kitaa napoishi kinondoni habari zao tunazo kama wanashikishwa ukuta tena hususani wakiendaga ngome halafu tunaochukuliwa laini ndo vidume dimbani
 
Pole sana, ulipokuwa ukiambiwa mwanaume hasifiwi urembo wala utanashati anasifiwa kazi hukuamini, ulifikiri kazi ya ofisini tu eeeh?
 
Weee uliye tuu ucheke una mbavu????

Hope you are all good!!
Najua wengi mtakuja na matusi na kashfa kibao lakini message sent and delivered.

Men you should train yourself bhana mnaboa sana yaani unakuta mtu mtanashati, ana kila kitu kizuri lkn kitandani hovyo kabisa...,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

SITAKI MATUSI IKIKUBOA IPOTEZEE

sijui umekutana nao wangapi?
nawewe mwenyewe unajishughulishaje mkiwa kunako uwanja?
kuna wanawake wengine wanadhani wanaume ni sex-machine, we ukitaka tu basi unaukalia! fanya utundu kidogo basii!

mie masista du ndio naonaga ni tatizo, yaani yeye kila kitu anafanya kisista du! anatulia kama gogo, yeye anaijua staili moja tu! na mkimaliza hicho cha introduction basi kama kulala atalala na hakuna kujihangaisha!

halafu na usafi nao ni tatizo kwenu! mazingira hamuyajali nyie! unakutana na mazingira mabovu kuliko ulivyotarajia,sasa hiyo hamu si itaisha!
 
Tafuta wanaume wachafu wachafu kama mimi uone shughuli yake
 
sijui umekutana nao wangapi?
nawewe mwenyewe unajishughulishaje mkiwa kunako uwanja?
kuna wanawake wengine wanadhani wanaume ni sex-machine, we ukitaka tu basi unaukalia! fanya utundu kidogo basii!

mie masista du ndio naonaga ni tatizo, yaani yeye kila kitu anafanya kisista du! anatulia kama gogo, yeye anaijua staili moja tu! na mkimaliza hicho cha introduction basi kama kulala atalala na hakuna kujihangaisha!

halafu na usafi nao ni tatizo kwenu! mazingira hamuyajali nyie! unakutana na mazingira mabovu kuliko ulivyotarajia,sasa hiyo hamu si itaisha!
Hapo kwenye rangi mkolezo ndipo penyewe hasa, mkuu pointi yako imenikosha mtima sana hii...
 
lazima wewe utakuwa ka-ha-ba maana utafiti kama huo lazima uwe na sample ya kutosha. kama upo Dar say wanaume mia hivi watanashati na mia wachafu!
 
tatizo letu watanashati tunapenda papuchi safi... tofauti yake mademu wengi siku hizi papuchi zinanuka kama panya kaoza.

Nyie endeleni na haohao shamba boys ambao hawajali harufu ya panya aliyeoza
 
uwiiiiiiiiiii!!!!!!!!!! hahaaaaaaaa!!!!!! me ndo maana nikitongozwa na mtanashati nakimbia ka mwehu na kama tumekaa mahali naingia chini ya uvungu wa meza ili mradi anione sifai............

watanashati ndo wana mkwanja sasa! mtaponea wapi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom