Wanaume waliokuwa wanahonga mitaji wadada mmeenda wapi?

Wanaume waliokuwa wanahonga mitaji wadada mmeenda wapi?

mmekuwa watata sana.....hatujui mnataka nini extra.....so nipe nikupe.....eat & run......run away.....
 
Wahongaji tupo wengi tu ila wahongwaji ndo hawapo. Ulitaka kuufurahia ukunaji lazima pawepo panapowasha, habari za kukuna mti wapi na lini
Uwiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji1][emoji28][emoji28]
 
Wapo huku dom nashinda nao majumbani jaman wamebadilika saivi hawataki kabisa kuhongaa
Hao wa dom sasa hiv hela sio kama zamani. Tajiri wa magari (mbunge) mwenyewe siku hizi kapunguza kuhonga
 
Bado wapo si unaona biashara ya mihogo mibichi inaongezeka,
unadhani mitaji inatoka wapi? au wewe unataka mitaji ya kwenda china
kuleta kontena la nguo?
 
mmekuwa watata sana.....hatujui mnataka nini extra.....so nipe nikupe.....eat & run......run away.....
Khaaaaaaaaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Wifi acha umalaya kaka is watching you
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom