Wanaume waliokuwa wanahonga mitaji wadada mmeenda wapi?

Wanaume waliokuwa wanahonga mitaji wadada mmeenda wapi?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1][emoji3][emoji2][emoji3][emoji2][emoji3][emoji7][emoji3][emoji7][emoji6][emoji8][emoji4][emoji8][emoji4][emoji8][emoji4]
R.I.P
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]RIP indeed!!!
 
Hata sasa hivi hayo mambo bado yapo... mahondaw wangu namfanyia vingi na mengi makubwa... and she acknowledge everything...

Zamani:
Wanawake zamani walikua wakweli sana... wanapofanyiwa kitu au jambo na mwanaume wana acknowledge na siyo kujigamba ati wame hustle wenyewe from the stratch... na wengine mpaka wanawataja hao watu waliyopo nyuma ya mafanikio yao... una mpa moyo hata sponsor...


Zama hizi:
Wanawake wamekua wajuaji sana, viburi sana, majigambo sana.. tunawaona wengi wanafanyiwa vitu na wanaume lakini wanajigamba kwamba wanapambana wenyewe hakuna mwanaume wa kuwababaisha... mwisho wa siku sponsor anaamua kuachia ngazi...



Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom