Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,534
- 63,061
MwenyeweMxeeeeeew
MwenyeweMxeeeeeew
SaanaaaaDunia haina usawaaaa
Wooiiii[emoji23][emoji23]Nimecheka balaaaaa
Walijua kudeka jamanii...au hiki chetu ndio kizazi cha snake eeh...?![emoji27]Jaman ila dada zetu walipata raha sana
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23]Wanaume suruali
Tujikusanye tuvae mavazi ya magunia tupake na majivu tuombe toba,..pengine tumekosea mahali[emoji20]Yawezekana kizazi cha gundu wajameni sjui tumekosea wapi?
Washakuwa mabarafu,.hayafai kitu labda tuje kuyaweka kwenye biashara zetu za maji ya kidebe,.Khaaaaa tutawafata huko huko hata kwa urogi
Wengine uchoyo tuu.Hahahhaha sjui sababu ni nini?
Sasa mbona unanicheka shooChaaaaaaa hahahahahaha
Naweza tena nikianzia kwako itakuwa vzr zaidi ndo utaamini kama siwez au vipHuweziii