Wanaume waliokuwa wanahonga mitaji wadada mmeenda wapi?

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,364
Reaction score
60,495
Ama kweli vijana tuliozaliwa miaka ya 90s tuna gundu hasa warembo na mabebez jamani khaaa!
Enzi hizo bado binti mchuchu nakumbuka nilkuwa naona wadada wakihongwa magari ,nyumba,na kufunguliwa biashara mbali mbali kama maduka ya nguo urembo, saloon za kike, grocery n.k. na wapenzi wao hata kama hajakuoa wengine michepuko tu lakini wanajali.

Lakini saivi thubutu hata elf 10 wanaume wamekuwa wachunguu kama nini?

Mdada kama huna kazi nakwambia utalia mpaka upauke na usahau kabisa kupigiwa simu na mwanaume wako.
Wanaume kwanini mnakuwa wabahili why?

Wahenga mliopo Jf tupo pamoja eeeh enzi zenu mlikuwa hamna uchungu na hela au?

Wanaume saivi wanataka kuoa mwanamke mwenye kazi najiuliza why?

Mpaka mwanaume akufungulie biashara jamani sijui mpaka umroge awe zezeta wamekuwa wagumu wadada tunapata tabu sana.

Swali:
Wahenga mlikuwa mnapewa nn
mpaka mnahonga vitu vizur kwa mabebez enzi zenu ?

Demiss mm toka zamani nilikuwa nadate na wahenga na nimeolewa na muhenga full raha sitaki swali.

ONYOOOO:

Jikite kwenye mada msimuingize mme wangu hapa kwenye comment zenu za upuuzi mimi napenda kuandika mambo yaliyopo kwenye jamii na mengine nimepitia kwahiyo sitaki shobo za kumtag my hubby .
Ndoa na iheshimiwe na watu wote nikipigwa kibuti nitakuwa mgeni wa nan?

Demiss Malaikaa.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] charm dercor wee ....asante sana mama onyo limekaa vizuri
 
Kweli kabisa onyo kitu cha muhimu unashangaa wanashindwa kujikita kwenye mada wanabaki kutag Mshana jr loooh wananichosha kwa kweli sina uhuru sipumui nikijiachia kidogoo tayar wanashtaki uuuui waniache jamani mme atabaki mme tu wanatamani unipige kibuti nikose pa kuringia Demiss miyeee.
 
baada ya yale majina yenu ya ajabu kututunga
mara zoba sijui buzi
tukapata akili tukaacha kuhonga

ila mimi nimebaki na tabia hizo ukiniita buzi unichemshe uninywe supu cha kukuhonga sina
Khaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji14]
 
Kweli kabisa onyo kitu cha muhimu unashangaa wanashindwa kujikita kwenye mada wanabaki kutag Mshana jr loooh wananichosha kwa kweli sina uhuru sipumui nikijiachia kidogoo tayar wanashtaki uuuui waniache jamani mme atabaki mme tu wanatamani unipige kibuti nikose pa kuringia Demiss miyeee.
Achana nao WATAPATA TABU SANA
 
Back
Top Bottom