Wanaume waliokuwa wanahonga mitaji wadada mmeenda wapi?

Wanaume waliokuwa wanahonga mitaji wadada mmeenda wapi?

Bado tupo isipokuwa nanyinyi uaminifu umewashinda mtu anaghalimikia kila kitu, akitaka papuchi mnamblock, sasa si bora apotezee akakae na mamisapu wake/ make kila siku uhakika upo wa kubanjua. ila akijaribu kupiga simu not reachable.
Hahahahahahaha
 
Njoo pm na progress ya mradi ambao umeshaanza ku-operate..

Nione inputs na output zake..
Nakuja nipo njiani[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Tatizo unamwitaje muhongaji kibamia hiyo ndiyo source haiwezekani nikuonge mtaji kwa kunisave my Kibamia ina maana nikihonga nitakuwa nimehonga Bwawa la kuogolea kuweni wabunifu.
Hahahahahah utajuaje kama amekusave kibamia khaaaa
 
Back
Top Bottom